Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

:crying: Kilio kilisikika Milan. Gang Chomba na mashabiki wenzake waliomboleza. Na wala hawakuweza kufarijiwa. Kwa kuwa wamepangiwa kuchezewa na Merciless Messi!
1 Reactions
0 Replies
795 Views
Katika kutimia maneno ya wahenga "usitukane mamba wakati ujavuka mto"" yametimia kwa aliekuwa mgombea w aujumbe kupitia chama cha mkoa wa dar drfa alhaj shaffiidauda pale alipoambulia kura mbili...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
NGASSA ANACHOFANYA NI UTOTO TU Na Mahmoud Bin Zubeiry MRISHO Khalfan Ngassa anatafutwa ili ahusishwe katika mpango wa kuuzwa kwake klabu ya El Merreikh ya Sudan, lakini hapatikani na simu...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Spain end 2012 on top of FIFA rankings19 December 2012 Reigning European and world champions Spain have finished 2012 at the summit of the FIFA rankings for the fifth time in succession...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Vilanova to step down as Barca boss TITO VILANOVA is set to step down as Barcelona boss after suffering a suspected relapse of a tumour he had removed last year. The 44-year-old Spaniard had...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
LeBron James competes in a stage of the Tour de France LeBron James says he bikes to most Heat home games to stay in shape Way back in January 2012, when LeBron James was still a big loser who...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ilikuwa kwenye bench la Taifa Stars majuma machache yaliyopita pale Namboole (Mandela) Stadium, Kampala!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabao ya 87 na 88 ya Lionel Messi ya mwka huu yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 2-0 dhidi ya Cordoba katika mzunguko wa kwanza wa 16 bora katika michuano ya Copa del Rey. Wakati huo huo,Real...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
nimesjikitika sana tena sana nilipoona usanii wa kupanga matokeo ya drfa tena siku hiyo hiyo ya uchaguzi ukumbini tena bila aibu nimeyaona hayo kupitia kipindi cha sports bar cha clouds..mimi si...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Muda wa kuongoza tff tenga na timu yake umekwisha lakini,wanabadilisha katiba kinyemela iliwaendelee kula tff ki msingi ifike mahali kwa kweli imetosha,soccer letu linazidi kudidimia hakuna...
1 Reactions
1 Replies
937 Views
Two good articles describing the future of CECAFA and what it must do to survive: Musonye must blame himself for CECAFA’s low attendance | Kenya Page The Observer - Cecafa Cup should rebrand to...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
hivi kuna mtu anaweza kunijulisha kwa nini ziara ya Pele kuja Tanzania mwaka 1975 ilipigwa stop na serikali? maana mara kilitokea kifo cha ajari ya aliyekuwa meneja wa yanga MR Johnson Mbwambo na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mabao mawili ya kujifunga pamoja na yale ya Nocerino pamoja na mfungaji wa kileleni Serie A,Stephan El Shaarawy,yalitosha kuipa ushindi wa 4-1 dhidi ya Pescara katika Serie A. Kazi inaendelea!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, mimi ni mdau wa soka, na hapa jf najua kuna wadau kibao. Kuna ma'fans na wanazi wa vilabu kibao kama Man united, Arsenal nk. Wadau naomba mnisaidie katika hili 1...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bentez:du!naomba abrahmovc kesho aamke fresh mana hana muda utamckia"money iz solution of all problems,we got money ,co let uz it"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa Messi,pale Radamel Falcao...hapatoshi leo.Ni wa kwanza na wa pili.Silali ng'o!
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Wazee wa Darajani (Chelsea) wapewa kichapo kutoka kwa Corinthians iliyokuwa chini ya kapteni Emersons. Bao la kichwa kutoka kwa Guerrero limetosha kuwamaliza wazee wa Darajani Hongera sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya mchezaji Mrisho Ngassa kuingia mitini huku taarifa za kuaminika kutoka kwa vyanzo vilivyo karibu na mchezaji husika na klabu ya Yanga vikisema - Mrisho amekubali kimsingi kujiunga na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Africa papers carry Mike Tyson 'sex change' spoofIn 1986 Tyson became the youngest heavyweight champion in history, aged 20 Continue reading the main storyRelated Stories Mike Tyson swaps boxing...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakiwa wameanza kwa kusuasua,sasa AC Milan si wa kuwasogelea. Wakijivuta kutoka nafasi ya 14 ya msimamo wa Serie A hadi nafasi ya 7,Milan wanaonesha kuimarika siku baada ya siku. Jana,Milan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom