kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Kiungo anayeozea benchi Barcelona, Alex Song, yuko tayari kusikia ofa ya kurejea Arsenal mwisho wa msimu huu. Klabu hiyo ya London inasemekana kuanza pilika za kumrejesha. Inaaminika kwamba Song atauzwa kwa paundi milioni 12.7 ambazo hazitakuwa tatizo kwa Wenger ambaye anatarajiwa kupewa paundi milioni 70 za kuimarisha kikosi.
(Daily Express)
(Daily Express)