Yaya Toure Kuikacha Manchester City?

Yaya Toure Kuikacha Manchester City?

Status
Not open for further replies.

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Yaya Youre anasema ataikacha klabu hyo asipopewa mkataba mpya. Hii ultimatum inatokana baada ya kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya miezi sita sasa.
Akiongezea kwa hapo, agent wake, Dimitri Seluk kasema, "Kama asipopewa mkataba mpya jumamosi, hatutosubiri hata kidogo. ni kuanza mazungumzo na klabu nyingine". Hata hivyo Seluk kaongezea kwa kusema, Yaya Toure anaheshimiwa na Mancini tu, na sio na uongozi wa klabuni hapo.
Real Madrid na Chelsea zinaongoza kwa dau kubwa la kumpata kiungo huyo.
So, future ya Yaya ni ipi, Atabaki au atajikataa?
 
Man City wanataka kufanya makosa kama waliyowai kuyafanya Real Madrid, wakati wanamnunua Beckam kiungo wao Claudio Makelele aliomba aongezwe mshahara maana yeye ni bora kuliko anayenunuliwa lakini walimpuuza na kumbeza matokeo yake akatimkia Chealsea na Real iliyumba sana. Sasa hakuna asiyeliona pengo la Yaya anapokosekana uwanjani subiri wamruhusu aondoke nao yawakute.
 
obwato. Ila hata kama akichukua mkataba mpya, hatuchukua mda sana kukaa huko Eastlands. Unless city staffs wawe na fare treatment kwake.
 
Last edited by a moderator:
mie huyu ndugu yangu Ndetichia hapa tu ndio tunapokosana.
Kwa mtu kama Gutierez endapo itatokea habari yoyote ya kumhusu mchezaji wa Barca basi ni lazima aje haraka hapa Jamvini kuitolea maelezo.

Hali kadhalika kwa Gang Chomba na AC Milan na Gaucho.
Pindi litakapoletwa balaa lolote juu ya timu hii na Nabii huyu basi huja faster na kuitolea maelezo.

Hata swahiba wangu Companero na JKT Mgambo yake.

Lakini ndugu yangu Ndetichia amejikausha kimyaaa...as if hajaiona khabari hii...

Its not fair
 
Man City wanataka kufanya makosa kama waliyowai kuyafanya Real Madrid, wakati wanamnunua Beckam kiungo wao Claudio Makelele aliomba aongezwe mshahara maana yeye ni bora kuliko anayenunuliwa lakini walimpuuza na kumbeza matokeo yake akatimkia Chealsea na Real iliyumba sana. Sasa hakuna asiyeliona pengo la Yaya anapokosekana uwanjani subiri wamruhusu aondoke nao yawakute.

yaya sio mshahara yeye anataka mkataba uongezwe uwe wa miaka miwili mpaka mitatu na sio mwaka..
the saga continue..
 
mie huyu ndugu yangu Ndetichia hapa tu ndio tunapokosana.
Kwa mtu kama Gutierez endapo itatokea habari yoyote ya kumhusu mchezaji wa Barca basi ni lazima aje haraka hapa Jamvini kuitolea maelezo.

Hali kadhalika kwa Gang Chomba na AC Milan na Gaucho.
Pindi litakapoletwa balaa lolote juu ya timu hii na Nabii huyu basi huja faster na kuitolea maelezo.

Hata swahiba wangu Companero na JKT Mgambo yake.

Lakini ndugu yangu Ndetichia amejikausha kimyaaa...as if hajaiona khabari hii...

Its not fair

nilikuwa natafuta data nzuri ntazishusha hapa soon tu ni samehe bure mkuu GC
 
Yaya Toure anataka kuondoka Man City kwani kaona hawana jipya pamoja na juhudi zake zote; unapoongeza mkataba ni pamoja na maslahi hasa kwa mchezaji ambaye kiwango chake kipo juu kama yeye; hapo ndipo Man City inaposita kwani ingawa yeye ni mchezaji anayelipwa zaidi Uingereza bado inabidi aongezewe! Sasa nini kinachofuata ni bahati nzuri kwa Chelsea kwani ndio timu mbadala inayoweza kumlipa vizuri; So tunaelekea kulamba dume mwisho wa msimu aje aimarishe KIUNGO then tuchukue Premier League na Champion League next season. ukiwa upande wetu lazima FURAHA KILA SIKU, the blueeeeeeeeeeezzzzzzzzzz....oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ila hata akiongezewa mkataba bila ya respect toka kwa staff memberz, ni kazi bure. Kwa kifupi hana maisha marefu na raia hao wa Eastlands!
Ila kama akiondoka, Real Madrid nawapa nafac ya kwanza kumchukua, na sio Chelsea, cuz Chelsea bdo haijatengemaa kwa xaxa!
 
mie huyu ndugu yangu Ndetichia hapa tu ndio tunapokosana.
Kwa mtu kama Gutierez endapo itatokea habari yoyote ya kumhusu mchezaji wa Barca basi ni lazima aje haraka hapa Jamvini kuitolea maelezo.

Hali kadhalika kwa Gang Chomba na AC Milan na Gaucho.
Pindi litakapoletwa balaa lolote juu ya timu hii na Nabii huyu basi huja faster na kuitolea maelezo.

Hata swahiba wangu Companero na JKT Mgambo yake.

Lakini ndugu yangu Ndetichia amejikausha kimyaaa...as if hajaiona khabari hii...

Its not fair
Ingekuwa habari ya David Silva Jimanez au Javi Garcia hapo Man City ningekuwa nimesharindima kitaaaambo
 
Huyo tayari wa Stamford
poa mchukueni umri umeenda 28yrs je kama kachakachua kama Essien unajua mkurugenzi wa michezo wa city ni kutoka barca
anawaelewa wachezaji kutoka nje ya ulaya wanachakachua umri sana
 
Duh kumbe kuna kuchakachua umri tena duh
 
Man City wanataka kufanya makosa kama waliyowai kuyafanya Real Madrid, wakati wanamnunua Beckam kiungo wao Claudio Makelele aliomba aongezwe mshahara maana yeye ni bora kuliko anayenunuliwa lakini walimpuuza na kumbeza matokeo yake akatimkia Chealsea na Real iliyumba sana. Sasa hakuna asiyeliona pengo la Yaya anapokosekana uwanjani subiri wamruhusu aondoke nao yawakute.

Waone mara ngapi..kakaa nje mechi ya everton wakapigwa viwili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom