Abidal - apewa shavu

Abidal - apewa shavu

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Kiungo wa Barcelona, Eric Abidal (33) atakuwa "afisa mahusiano ya kimataifa" wa klabu hiyo atakapostaafu kucheza soka. Rais wa klabu hiyo Carles Vilarrubi amemuita Mfaransa huyo kuwa ni "nembo" ya Barcelona.

(Marca)
 
Back
Top Bottom