Wachezaji wa Bara wakijadiliana baada ya kufungwa na Uganda katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo kwenye Uwanja wa...
FIFA imewabakisha manguli watatu wa La Liga kugombea uchezaji bora wa dunia. Ni Lionel Messi aka Andunje,Andres Iniesta na Christiano Ronaldo. Wewe ungekuwa kocha,nahodha wa timu ya Taifa au...
Beki wa Zanzibar, Aggrey Morris akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa penalti, Uwanja wa Mandela, Namboole katika Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati...
Nimemsikia rais wa TFF akifafanua uamuzi wa kupeleka waraka kwa wajumbe kukubali au kukataa kufanya mabadiriko katika katiba yake eti ni ukosefu wa pesa. Ninasangaa kwa hilo kwani CECAFA huleta...
Arsenal the Gunners kupitia kwa msemaji meneja wao Arsene Wenger imethibitisha kuwa ipo katika mazungumzo na mshambuliaji kinda wilfred zaha wa klabu ya crystal palace yenye makazi yake huko...
nyie DTV, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf...
TUESDAY, DECEMBER 04, 2012
KALENDA YA YANGA YAZINDULIWA
KLABU ya Yanga imeingia mkataba na kampuni ya Pecha Media Health Promotion kwa ajili ya kutengeneza kalenda za klabu hiyo za mwaka...
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam
Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
Wachezaji wa Bara wakimpongeza Bocco baada ya kufunga bao la pili katika Robo Fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Rwanda. Bocco alishangilia...
.... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina...
Wakuu, inawezekana hapa ikawa si jukwaa sahihi sana kwa hii post.
Lakini nimeiweka kwa kuwa naamini michezo ni siasa, na pengine wazo hili linaweza kuchukuliwa na kupelekwa sehemu sahihi: Timu...
Ni wazo zuri kubadili upepo wakati huu wa maandalizi ya nusu ijayo ya msimu wa ligi.
Lakini nina tatizo kidogo na safari hii... Na kudeclare interest, niko in favor of Simba kwenye derby ya...
Mfungaji wa penalti ya mwisho na ya ushindi ya Zanzibar, Abdallah Othman akikimbia kushangiloia baada ya kumaliza mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.