mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 245
Real Madrid ya Hispania inaikalibisha Galatasaray ya Uturuki katika robo fainali ya michuano ya Uefa Champion League.Kocha wa Real Madrid,Mreno Jose Mourinho anatafuta kuweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kuchukua kombe la Uefa mara tatu kwa timu tatu tofauti,mpaka sasa amechukua mara mbili,mwaka 2004-Porto na 2010-Inter Milan.Pia leo atakabiliana na wachezaji wake wa zamani,Sneijder na Didier Drogda.Real mara ya mwisho walichukua kombe hili mwaka 2002 walipoifunga Bayer Leverkusen.