Yanga Vs Polisi Morogoro

Yanga Vs Polisi Morogoro

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani
 
Ndio tunasubiri muda tukawaangalie mabingwa wapya. Lakini wadau wengi wa soka hapa Moro wanalalamikia kitendo cha MRFA kuongeza ghalama za kiingilio toka 3000 zilizozoeleka mpaka 5000, nadhani hili linaweza kwa kiasi flani kupunguza idadi ya watazamaji, bora ingekuwa mabingwa wanacheza na Mtibwa kuliko Polisi.
 
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani

Mkuu nimefika hapa Morogoro punde ili kuisapoti Yanga ishinde, nitakuwa uwanjani Live. Kwa sasa hali ya hewa ni mawingu, jua halionekani.
 
Nashukuru kdm kwa kunipanga mbavu ya kushoto na nipo ndani ya mji kasoro bahari, ntakuwa napanda na kushuka kama Marcelo vile. Ivi ile timu ya Ndetichia leo haiendelezi mbio zake za kusaka nafasi ya pili?
 
Wako mabatini kumenyana na Ruvu Shooting leo leo.
 
Mkuu Makoye matale leo kdm kakupanga namba ngumu sana, sifa chache lawama nyingi, chondechonde usije ukawazawadia maafande goli kama lile walilookota wamoroco.
 
Mkuu Makoye matale leo kdm kakupanga namba ngumu sana, sifa chache lawama nyingi, chondechonde usije ukawazawadia maafande goli kama lile walilookota wamoroco.

Mkuu usihofu, wavu hautikisiki. Kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao ili wafanye shughuli zao bila matatizo yoyote. Leo Polisi wataingia uwanjani kuwalinda Yanga ili dakika 90 ziishe wachukue point zao 3.
 
Hadi sasa hivi "Ceteris Peribus" Yanga anatangaza ubingwa akiwa na mechi 3 mkononi,Wauza Vi'joti wakichezea kichapo leo pale mabatini au hata waka'droo tu itakuwa with 4 games in hand, enyi Vijana wa Mkwasa simamisha hao Wauza Ice cream ili watu tuanze kutinga Tshirt zetu zenye ujumbe wa "Yanga Mabingwa wa Soka Tanzania 2012/2013" mapema.
 
Sijamuona MANDIETA kwenye kikosi

Huyo bado yupo chini ya uangaliozi alipost vitu vya ajabu kama vya Youtube. Ngoma imeshaanza uwanja umependeza ila mlima umefunikwa na mawingu shughuli inaweza kuingiliwa. Polisi wamevaa blue tupu na Yanga kijani..
 
Tupe list basi za wachezaji pande zote mbili
 
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani

Umesahau kututaaja tunaoanzia benchi...
 
Tupe list basi za wachezaji pande zote mbili
Stadium - Morogoro
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.David Luhende
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athumani Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Said Bahanuzi
10.Hamis Kiiza
11.Nizar Khalfani

Subs:
1.Yusuph Abdul
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Shadrack Nsajigwa
5.Stephano Mwasika
6.Nurdin Bakari
7.Didier Kavumbagu
 
leo michezo kibao inachezwa:
Toto Africans Vs Simba SC,
Polisi Moro Vs Yanga SC,
JKT Oljoro Vs JKT Ruvu,
Ruvu Shooting Vs Azam FC,
African Lyon Vs Coastal Union,
Kagera Sugar Vs Mtibwa Sugar.
Namuonea huruma simba!. mwenyewe kashajikatia tamaa!. mia
 
Tupe list basi za wachezaji pande zote mbili

Bathez, Twite, Lulende, Kanavaro, Yondan, Chuji, Nizar, Msuva, Domayo, Bahanuzi na Kiiza. Yanga wamekosa magoli mawili ya kona pacha.
 
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani
Na mimi nipo benchi napasha watatutambua LIBOLO la Tanzania na Afrika mashariki na kati.
 
Mbona update ya leo inaenda kichovu sana au ndo mambo ya pasaka?
 
Back
Top Bottom