Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ahlan wasalan ndugu zangu popote pale mlipo,nina imani wengi wenu mtakua ndoton/ktk dimbwi zito la usingiz ama mkizitendetea haki NOAH ZENU. Leo jion sikuwepo jamvin lakin usiku huu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hapa ndo uwanja wa wana Kariakoo F.C kutoka Lindi,mabingwa wa Kombe la Hedex Africa Mashariki mwaka 1999\2000
0 Reactions
13 Replies
3K Views
FUAmTAILIA UZI HUU KUWEZA KUPATA LIVE UPDATES ZA MECHI ZOTE LEO MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANJANI Sat 28/09/13 Young Africans 1 - 0 Ruvu Shooting Sun 29/09/13 Ashanti United 2 - 2 Mtibwa...
1 Reactions
190 Replies
15K Views
Amri Kiemba, Kigoma 'Diaspora' and Talent Export Kigoma region has not had a club a premier league club for close to 11 years. Mbanga was the last club...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani sijaiona thread yenye title hii, ila wadau tujulishaneni nini kinaendelea, binafsi nitaenda taifa leo, ila Techno yangu sijui kama itaweza kuwapa updates ila nitajitahidi mechi zingine leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Azam Tv kuchelewa kuonesha ligi kuu ya Vodacom Tanzania wameamua by the time being wakiwa wanajipanga kuingia ubia na TBC1 bila malipo, kuonesha mechi za ligi kuu mpaka nusu ya msimu huu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
* Ngassa alidai kwamba fedha hizo alizilipa mwenyewe kutoka mfukoni kwake na sasa amebaki katika wakati mgumu ndiyo maana anaomba wasamaria wema kutoka Yanga kujipigapiga na kumchangia kitu kidogo...
0 Reactions
99 Replies
21K Views
Nyumba anayoishi kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima iliyopo Magomeni Makuti Dar imeteketea kwa moto leo hii. Hasara bado kujulikana. =
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauliza wanajamvi kwakuwa kila mechi ninayoangalia sionagi kocha msaidizi kuwa kavaa suti kama kocha mkuu. Je, kuna sheria katika hili?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sister du hana hamu na muuza chipsi kapigwa mbili moja,shenzi kabisa.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJamvi...... Poleni na majukumu. Naanza kwa kuwapa pole WanaJangwani kwa Mkasa uliowapata kule Mbeya baada ya basi lao kuvunjwa vioo. Unaweza ukukakumbuka kilichowapata Togo kule...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbwana Samatta 'Poppa' au ukipenda muite Sama Goal kama anavyojulikana nchini DRC kuna uwezekano mkubwa wa kwenda ulaya mwakani.Akihojiwa na Bbc kocha wa Tp Mazembe bwana Patrice Carteron alisema...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Kila nikiiangalia tz kwa jicho la kisport naiona imejichokea.Wale wanaoonekana wako juu,kwa mizani ya kimataifa si lolote c chochote,choka mbaya. Hivi uchovu huu ni wa asili au ndo kutopenda...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Baba Ubaya kupishana na Cassilas (japo nasikia ni mfanyabiashara mzuri
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Dear Arsenal Kaeni mkijua kua Unaweza kukaa miaka nane bila kombe ila Usithubutu kukaa miaka 8 bila mtoto kwenye familia Unaweza kucheza pass nyingi bila goli kwenye mechi moja ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima mbele wadau, nilikuwa napendekeza kuwe na thread maalum zinazohusu ligi mbalimbali za ulaya na nyumbani pia. Wengi wa wadau hapa jukwaani wana vilabu wanavyovishabikia. Kuna Arsenal...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Dar es Salaam. Tanzanian boxing sensation Francis Cheka faces being stripped of his World Boxing Federation (WBF) title after the federation resolved to stop sanctioning bouts organised by local...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii leo tumeshuhudha machester united ikipoteza mech yao ya tatu(3)mfulizo kwenye EPL kutoka kwa LIVER,MAN CITY na hii leo wamelala kwa bao mbil moja dhd ya westbrom swal je MAN U N WABOVU AU...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mkongwe wa soka na kaptaini wa zamani wa taifa stars kwa zaidi za miaka 10 kwenye miaka ya1980. kuna kipindi alikuwa anaumwa,na TFF na wapendamichezo na taifa kwa ujumla tulimtelekeza. je kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa alie kwenye runinga atujuze matokeo tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom