Drogba na Eboue kuadhibiwa kwa kumshukuru Mandela


EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,487
Likes
1,020
Points
280
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,487 1,020 280
Chama cha Soka cha Uturuki kimewaita wachezaii wawili wa Ivory Coast, Didier Drogba and Emmanuel Eboue ili kuwaadhibu kutokana na kutenda kosa la kuvaa na kuonyesha uwanjani nguo zinazomkumbuka na kumshukuru Mandela. Wachezaji hao walionyesha nguo zao za ndani zenye maandiko ya kumkumbuka na kumshukuru Mandela kwenye mechi kati ya Galatasaray na B Elagizspor kumalizima.

Chama cha soka cha Uturuki hakiruhusu wachezaji kuvaa nguo zinazoonyesha maandiko yenye ujumbe wa kisiasa, kidini, kibiashara au maandiko binafsi. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya FIFA inayokataza wachezaji to "reveal undershirts which contain slogans or advertising". Kwa mujibu wa sheria hiyo, "basic equipment must not contain any political, religious, or personal statements".

Sheria hiyo inaendelea kusema kuwa mchezaji ambaye atakiuka sheria hii ataadhibiwa na waandaji na wa shindano husika. Pia timu anayochezea mchezaji husika nayo itaadhibiwa na FIFA au waandaji wa shindano husika. Aidha sheria inamtaka refa aweke kosa hilo kwenye taarifa yake baada ya mechi.[video=youtube_share;4pM0MjRznHg]http://youtu.be/4pM0MjRznHg[/video]
 
C

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
2,034
Likes
135
Points
160
C

cj21125

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
2,034 135 160
Usishangae kwa sababu wenye FIFA si ndio Makaburu wenyewe wabaguzi wa rangi.
 
U

utantambua

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
1,373
Likes
9
Points
0
U

utantambua

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
1,373 9 0
Sheria zinapokuwa rigid mpaka zinakosa mantiki. Ungekuwa ni ujumbe wa chuki ingekuwa na maana. Kwa hiyo siku Blatter akifariki (Mungu epusha) wachezaji watakao kuwa na flana zenye ujumbe wataadhibiwa?
 
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,487
Likes
1,020
Points
280
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,487 1,020 280
hvi na baloteli aliadhibiwa after "WHY ALWAYS ME"
Alipewa kadi ya njano. Kiutaratibu kama refa akisha-deal the kosa husuka uwanjani ndiyo imetoka hiyo.

Kwa hiyo ya akina Drogba hawakupewa kadi yoyote na kama unavyoona kama vile marefa walikuwa hawajui wafanye nini.
 
gulio

gulio

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Messages
294
Likes
25
Points
45
gulio

gulio

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2012
294 25 45
mjenga nchi ni mwananchi. Blatter atawatetea
 
N

numlock

Member
Joined
May 3, 2013
Messages
62
Likes
0
Points
0
Age
31
N

numlock

Member
Joined May 3, 2013
62 0 0
Lakini sidhani kama kuna kosa,hizi sheria nyingine nikandamizi sana
 
M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Messages
1,647
Likes
293
Points
180
M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2009
1,647 293 180
Ha wapewe kadi vipi wakati mpira umekwisha na walikuwa wanaaga wapenzi wa timu yao.
Baloteli alipewa kadi sababu alivua shati akishangilia goli au ??

Alipewa kadi ya njano. Kiutaratibu kama refa akisha-deal the kosa husuka uwanjani ndiyo imetoka hiyo.

Kwa hiyo ya akina Drogba hawakupewa kadi yoyote na kama unavyoona kama vile marefa walikuwa hawajui wafanye nini.
 
M

mojawapo

Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
66
Likes
0
Points
13
M

mojawapo

Member
Joined Mar 9, 2010
66 0 13
Rules or not, this will be a black eye for the Turkish FA if the punish Drogba
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,550
Likes
650
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,550 650 280
Kwani si wakiwa kwenye Mechi? Wakati wa Mechi hata ukivua tu unaadhibiwa ila mechi ikiisha, hata huwa wanabadilishana mashati/t-shirt. Mbona hapo huwa hawaadhibiwi? Jamaa wamewekwa kwenye mtihani mgumu sana. Labda iwekwe kwamba hawatakiwi kuvua nguo hadi watoke kabisa uwanjani.
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,337
Likes
3,664
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,337 3,664 280
Usishangae kwa sababu wenye FIFA si ndio Makaburu wenyewe wabaguzi wa rangi.
Hapana, tusivunje sheria tukasingizia ubaguzi, ndo hayo mambo ya marais wa Afrika wanaendesha mauaji halafu wanasema ICC ipo kwa ajili ya Afrika tu! Drogba na Eboue ni professional players wa muda mrefu tu, wanalielewa hilo na sidhani kama wanapinga hiyo adhabu kama inavyopingwa humu JF!
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,337
Likes
3,664
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,337 3,664 280
Kwani si wakiwa kwenye Mechi? Wakati wa Mechi hata ukivua tu unaadhibiwa ila mechi ikiisha, hata huwa wanabadilishana mashati/t-shirt. Mbona hapo huwa hawaadhibiwi? Jamaa wamewekwa kwenye mtihani mgumu sana. Labda iwekwe kwamba hawatakiwi kuvua nguo hadi watoke kabisa uwanjani.
Sasa hivi refa anaruhusiwa kukuonyesha kadi nyekundu hata nje ya dakika 90 za mchezo
 
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
1,960
Likes
52
Points
145
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
1,960 52 145
Drogba na Eboue ni professional players wa muda mrefu tu, wanalielewa hilo na sidhani kama wanapinga hiyo adhabu kama inavyopingwa humu JF!
Well, tupo third world, dunia ya mwisho huku, hatuna concept ya utawala wa sheria, tunatawaliwa na matamko ya Selemani Kova na whims za Mizengo Pinda, si ajabu kuona watu wanapinga application of law kama hii, hatujazoea.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
amesema poa tu na atarudia given chance
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,002
Likes
1,627
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,002 1,627 280
Wangewaacha tu,hamna issue hapo...,tuna msiba mkubwa wa dunia.....
 

Forum statistics

Threads 1,250,723
Members 481,468
Posts 29,743,371