Jaguar: Walau Prezzo amepata kitu kinachomfaa sababu muziki hauwezi

Jaguar anaongea tu,mbona Prezzo ni mkali tu hata kwenye mziki,Jaguar hapo anaona wivu tu kuona mwenzake ameenda big brother
 
jaguar amuache mkali prezzoo siyo level zake kabisa!mnyamwezi anatupia halafu bata ndefu!kama kuimba hata muumini mwinyijuma anajua kuimba wakali tunataka swagga!
 
mbona lipole na linaboa kuliko watu wote mle bba, ukimwangalia tu unaona hamu ya kuendelea kuangalia bba inaisha...wakenya sijui wakoje, ukiwaanglaia tu unaona element za kinyangáu jambazi....
 
mh !?ukitaja waimbaji jaguar utamtaja!?hel nah!..afadhar prezo anajua kurap!..ila jaguar hapana ile nyimbo yake kigeugeu nadhan imepata umaarufu sababu ya anachokiongelea na beat!ila uimbaji hapana!
 
Huyo jaguar anaumwa nini, yeye ndo hajuia kuimba kabisa wala asijilinganishe na lile jembe
 
aaaaah kweli nyani haoni ....jaguar wa kutamka maneno hayo loooh jipange tena jipange saaaana jaguar..nakukubali lakini kwa hili aaahhhhhhh hapana bro
 
jaguar amuache mkali prezzoo siyo level zake kabisa!mnyamwezi anatupia halafu bata ndefu!kama kuimba hata muumini mwinyijuma anajua kuimba wakali tunataka swagga!

we muuza sura haya sura ikishannuliwa utauza nini?mwili?...unataka swagga utaswagwa km ng'ombe kwa wako upambe..!
 
chuki binafsi.majungu. Roho mbaya .wivu kutokujimini kwa jaguar na mambo yanayofanana na hayo
 
Back
Top Bottom