Sasa hapo ni Maajabu yapi Wamefanya?!
Kwani ukilinganisha kikosi cha Man City na Bayern kwa Mchezaji mmoja mmoja kipi kipo Timilifu?!!!
Kwanza wao wameenda hapo na kuruhusu japo magoli ya kufungwa, Vipi ARSENAL ambao walimpigia hapohapo Germany 2-0 last season?!!!
MI NAONA BAYERN WANAONESHA SANA UDHAIFU KWA TIMU ZA ENGLAND, PIND WANAPOKUWA NACHEZA HAPO NYUMBANI KWAO.