Manji:sitagombea uongozi yanga hapo mei

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Messages
1,496
Points
1,500

scatter

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2013
1,496 1,500
yusuph manji wa yanga ameyasema hayo jana baada yakudumu katika ngazi tofauti tofauti za uongozi ndani ya yanga kwa muda unakadiriwa miaka tisa
Nimeamua kuachia ngazi kupisha na wengine wagombe kwa sasa , alisema
uchaguzi mkuu utafanyika hapo mei mwakani
 
Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,963
Points
2,000

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,963 2,000
yusuph manji wa yanga ameyasema hayo jana baada yakudumu katika ngazi tofauti tofauti za uongozi ndani ya yanga kwa muda unakadiriwa miaka tisa
Nimeamua kuachia ngazi kupisha na wengine wagombe kwa sasa , alisema
uchaguzi mkuu utafanyika hapo mei mwakani
Anapima upepo tu huyu, hupo Akili ni mali anajipanga jinsi ya kuanza kumkampenia aendelee kuwa kiongozi hapo. Tusubiri tutawaona maana movie ndio imeanzishwa.
 
Forum statistics

Threads 1,392,168
Members 528,552
Posts 34,100,482
Top