Tufike wakati tutofautishe soka na uongozi
Unaweza kusa mchezaji mzuri tu sana ukifika kuongoza watu nshidaaaaaaaa
Ndugu zanguwote mnaoshiriki uchaguzi kwanza naaapongeza kaa uthubutu pili...
Habari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha...
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo.
Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza...
Waamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa...
Magoli yote mawili yamefungwa na Yahaya ramadhani
* kipindi cha kwanza dakika ya 23
* dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha Tanzania 2 Malawi 0
Update
Dakika ya 82 bado tunaongoza 2-0
* dakika...
Hii picha imenifurahisha kusema kweli ,.
Haruna moshi Boban jina la Boban ni nickname kutoka kwa kiungo wa Croatia Boban.Haruna alipata nafasi kwenda Sweden kucheza kama sijakosea na...
fifa imeanzisha rasmi matumizi ya video assistant referees kwenye michuano ya mabara
utaratibu huu umezua maoni tofauti kwa wadau
cha ajabu timu inaweza funga goli na kushangia alafu linakataliwa...
Wakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna
ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa
Ualimu wa Mpira?
Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa...
Kama hujajuaa hilii nakumegeaaa tripuu hii ujinga atutakii tunaweka viongozi wa ukweli bila kujali usimba na uyangaaaaaaaaa
Namkaribisha kwa mara nyingine tena na tena kwangu namwita JEMEDARI
AMA...
Sasa ni uhakika kwamba Emmanuel Okwi anakuja nchini kumalizana na Simba kwa ajili ya kuanza kuichezea msimu ujao.
Okwi anatarajia kutua nchini kesho Jumamosi na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya...
Fanyeni yote, shangilieni yote! Ila wengi mtazimia baada ya mahesabu ya kura za rais TFF.
Jamaa amejipanga si utani...Achilia mbani na mielekeo ya kampeni zitakazo fanyika.
Kwa wale wapenzi wa Soka hasa wa timu zetu hizi mbili Yanga&Simba wanajua kinachoendelea kipindi hiki cha usajili
Mchezaji Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima aka Fabregas wa Bongo baada ya kukipiga...
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini...
MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi, amesema kwa mwenendo wa usajili wa Simba ulivyo, hakuna shaka timu hiyo ndiyo itakayochukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu...
Hakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana .
Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.