Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA) imekubaliana na pendekezo la kuongeza idadi ya timu zinazocheza Kombe la Dunia hadi kufikia timu 48.
Rais wa Fifa, Gianni Infantino na Marais wa Mashirikisho ya...
Anaitwa Luis suarez Miramontes, Ndio Mhispania Pekee Aliyewahi Kuchukua Balon d'or mwaka 1960 Akiwa na Team ya FC Barcelona!
Najua Wengi Hili Hamlijui ila Nimeamua Kuwasogezea Hapa Karibu!
Kiungo wa Mbeya City, Raphael Daud amethibitisha kusaini mkataba wa miaka mwili wa kuicheza Yanga msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Akizungumza kupitia kipindi cha Mshikemshike viwanjani cha Azam...
Tokea kujiudhuru kwa aliyekua mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji mambo ndani ya klabu hiyo yameendelea kuwa ovyo baada ya kundi la wajanja wachache kutumia nafasi hiyo kupiga hela nje nje.
Jezi...
Umafia tu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima kudaiwa kujiunga na Klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kupewa ofa ya shilingi milioni 100.
Habari...
tunajua kuwa Ugeruman na chile wanaongoza kundi kwa kuwa na point 4 kila mmoja bada ya kutoka sale mechi ya jana na hapo hapo Austria na cameroo wakiwa na point 1 kila mmoja bada ya kutoa sale...
Kulingana na ubora wa wachezaji waliosajili, waliopo na hata wale ambao kuna uwezekano mkubwa wa kusajili naomba tusaidiane hapa ili tuone ni kwa namna gani timu hii kongwe hapa nchini inaweza...
Habari iliyovunjikavunjika ninayoweza kuwapeni kwa sasa.
Haruna Niyonzima amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba. Yanga wameshindwa kumshawishi Niyonzima abaki kwa kuwa fedha...
Wakuu, ninasangaa sana hasa wapenzi wa timu hizi wanapomlilia mtu mmoja hasa katika masuala ya usajiri wa wachezaji. Najiuliza vilabu hivi huwa wanasajiri wachezaji kutokana na mahitaji ya kocha...
Wadau, nampenda sana huyu jamaa Abdul Kipenga ambaye huwa anashiriki kwenye Sports kizaazaa ya ITV. Anaongea kwa kujiamini na anatoa points za maana sana kuhusu michezo. Mwenye taarifa zake...
Wakuu, leo mechi za kombe la mabara zinaanza rasmi nchini Urusi. Nimeangaza hapa sijaona ratiba ya mashindano hayo, yawezekana wana soka wenzangu hapa JF wamesahau hivo kwenye uelewa wa ratiba ya...
Haya mambo ya usajili bhana. Huyu Jamaa ameshajiona ndio Mkubwa kuliko klabu ya wale wapigaji.
Na ameshajua kuwa huku bongo akikohoa tu, watu wanachanganyikiwa juu yake!
Ndio ubaya wa mchezaji...
Uchaguzi TFF unakaribia.
Ally Mayai Tembele na Jamal Malinzi wanaonekana washindani wenye nguvu zaidi wa nafasi ya Urais.
Ila napenda turudi nyuma,twende mbele. Miaka 4 haijawahi kumtosha na...
Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku
Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao...
FIFA yapendekeza dakika 60 za mechi
Shirikisho la soka duniani (FIFA) lina mpango wa kupunguza muda wa mchezo wa mpira wa miguu kuwa dakika 30 kila kipindi. Bodi ya kimataifa ya soka duniani...
Na :Haji S Manara
Shafih Daud ni mmoja ktk watu wa soka hapa nchini,ni rafiki yangu tunaoongea muda mrefu hususan masuala ya mchezo huu murua,uliyobeba maisha yangu,pia ni kijana mwenzangu...
wote tunajua jinsi watanzania tulivyo inapofika wakati wa uchaguzi...
Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kipindi cha malinzi,
kesi ya pointi tatu tu imechukua miezi kuisha kipindi cha...
Beki wa upande wa kulia wa Juventus Dani Alves kuelekea Manchester City
Juventus imethibitisha kwamba itamwachilia huru beki wa kulia Dani Alves katika mwaka wa mwisho wa kandarasi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.