Mjadala huru:Kati ya Haruna Niyonzima na Nadiri Haroub Cannavaro nani alistahili kupewa Milioni 100

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
2,358
2,000
Kwa wale wapenzi wa Soka hasa wa timu zetu hizi mbili Yanga&Simba wanajua kinachoendelea kipindi hiki cha usajili

Mchezaji Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima aka Fabregas wa Bongo baada ya kukipiga Yanga kwa muda wa miaka 6 hatimaye amekua habari ya mjini baada ya kwenda kutafuta Malisho mazuri zaidi sehemu nyingine

Sababu za Msingi za kuondoka ni Kushidwa kufikia makubaliano na waajiri wake wa zamani na kutaka dau kubwa zaidi ya milioni 100 pamoja na kipengele cha kusomeshewa watoto wake bure na upande wa pili kuweza kufikia Dau

Sikatai Haruna Niyonzima ni kati ya wachezaji wazuri kuwahi kutokea Yanga ila kuna wachezaji wazuri zaidi ya Niyonzima waliowahi kutokea na ambao wanacheza Yanga mpaka sasa mfano Nadir Haroub Cannaravo ametoa mchango mkubwa sana Yanga.

Swali je Kati ya Niyonzima na Huyu beki wa Kitasa wa Yanga Nadiri Haroub Cannavaro nani alitakiwa ale Dau kubwa la Usajili?
 
mpyonko

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
353
500
Cannavaro anamchango mkubwa sana kwenye timu, kwa hivyo angestairi dau kubwa zaidi , isitoshe pamoja na uzuri wa niyonzima lkn hakuwa anacheza full time Mara nyingi alitokea benchi au alitoka kabla ya muda ..so bado hana athali kuubwa kwa yanga
 
Tumtakie kijana kazi njema kwa waajiri wake wapya.
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
Acheni kujifariji kwa vitu visivyo na msingi. Haruna kacheza mechi ngapi msimu huu? Cannavaro naye? Kuna wageni wagapi VPL na ni nani mchezaji bora wa kigeni kati yao wote? Hebu iangalie Yanga ya msimu huu ambayo wachezaji wengi walishuka kiwango, jaribu kuondoa Haruna na Msuva, kuna kitu gani ambacho Yanga wangevuna mwaka huu?

Tujifunze kuthamini michango ya wachezaji na kuwatakia kila la heri wanapoondoka hasa kama wameondoka kwa heshima kama huyu ambaye ameonyesha kuithamini Yanga na kuipa nafasi ya kwanza ktk majadiliano ya mkataba hadi pale iliposhindikana. Hata Simba wanajaribu kubeza mchango wa Ajibu, ni kujifariji tu
 
MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,040
2,000
Jana Niyonzima alikuwa ni jembe wala hawezi kuondoka Yanga, Leo: Niyonzima aende tu kwanza alikuwa hachezi mda wote, Kweli Akili za Yanga ni za Makinikia.
 
huwezi kusema Christiano Ronaldo kushinda Ballon dor ndo mchezaji mzuri zaidi duniani sema yeye anafunga ila huwezi kumtaja Ronaldo bila kuwataja kina Modric,Isco,Kroos

Hatukatai is among of the best player ndo manaa nikasema mjadala huru your free to express your feeling ila Yanga itaendelea kuwepo

Hongera kwa usajili mzuri kama ni mapendekezo ya Omog au ndo ile kila mtu anasajili mchezaji wake
 
bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
2,358
2,000
CHOMA JEZI FC wanasema Canavaro
Anza nidhamu,uzoefu,kujituma uwanjani Canavaro hana mfano hapa Tanzania

Niyonzima kwa vyenga,Kanzu kutuliza spidi ya wapinzani anafaa ila sio mzuri kwa final passes pasi zake nyingi ni square/pasi za pembeni

ila hongera mtani kunasa jembe
 
bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
2,358
2,000
Jana Niyonzima alikuwa ni jembe wala hawezi kuondoka Yanga, Leo: Niyonzima aende tu kwanza alikuwa hachezi mda wote, Kweli Akili za Yanga ni za Makinikia.
Kapata dau kubwa mwache aende mpira ndo ajira yake wengi waliamini Kavumbagu,Domayo wakiondoka Yanga chama litayumba ila sio kweli

Kuondoka kwa Niyonzima kunawapa nafasi wengine asingeondoka Christian ronaldo Man utd tusingemjua Rashford.
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
huwezi kusema Christiano Ronaldo kushinda Ballon dor ndo mchezaji mzuri zaidi duniani sema yeye anafunga ila huwezi kumtaja Ronaldo bila kuwataja kina Modric,Isco,Kroos

Hatukatai is among of the best player ndo manaa nikasema mjadala huru your free to express your feeling ila Yanga itaendelea kuwepo

Hongera kwa usajili mzuri kama ni mapendekezo ya Omog au ndo ile kila mtu anasajili mchezaji wake

Point of correction:

1. Sijasema Haruna ni mchezaji mzuri zaidi, hili unalo wewe kichwani mwako.
2. Mimi nimesema MCHANGO wake na Msuva kwa msimu huu ulikuwa ni mkubwa zaidi pengine kuliko misimu yote.
3. Point muhimu hapa ni kuthamini mchango wake badala ya kukashifu, kuchoma jezi, kutukana, hasa ukizingatia kuwa Yanga ni kubwa kuliko Haruna.
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
Anza nidhamu,uzoefu,kujituma uwanjani Canavaro hana mfano hapa Tanzania

Niyonzima kwa vyenga,Kanzu kutuliza spidi ya wapinzani anafaa ila sio mzuri kwa final passes pasi zake nyingi ni square/pasi za pembeni

ila hongera mtani kunasa jembe

Anamzidi George Kavila wa Kagera Sugar? Nidhamu sio mzuri kihivyo ana makosa mengi ya kinidhamu kafanya ndani na nje ya uwanja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom