COSAFA cup 2017 Taifa stars inaongoza 2-0 dhidi ya malawi

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,005
Magoli yote mawili yamefungwa na Yahaya ramadhani
* kipindi cha kwanza dakika ya 23
* dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha Tanzania 2 Malawi 0
Update
Dakika ya 82 bado tunaongoza 2-0
* dakika 90 zimekwisha zimebaki dakika za nyongeza

Final update

TAIFA STARS 2 MALAWI 0 TUMESHINDA

Mods hiyo ni breaking news sio news alert anymore
 
Supersport chanel 219 na 234 Ramadhani Kichuya kascore 2
1. Manula
2. Kapombe
3. Gadiel Michael
4.Banda
5. Mbonde
6. Nyoni
7 Msuva
8. Mao
9. Maguli
10. Mzamiru
11. Kichuya
 
Back
Top Bottom