Kuinua mpira East Africa ni kuazimana waamuzi.

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,303
12,600
Waamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa uwanjani. Kuondoka na tabia hii nchi za Africa Mashariki zibadilishane waamuzi wa ligi kuu ili kupunguza upendeleo unaotokana na mahaba ya mwamuzi kwa club zao. Inabidi waamuzi wa huku wakachezeshe kule na wa kule waje kuchezesha huku, hii inaweza kusaidia mpira wa kanda hii
 
KWaamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa uwanjani. Kuondoka na tabia hii nchi za Africa Mashariki zibadilishane waamuzi wa ligi kuu ili kupunguza upendeleo unaotokana na mahaba ya mwamuzi kwa club zao.
Hapo umenena mkuu,Naona na iende mbali zaidi hata tume za uchaguzi za kitaifa nazo tuazimane hata ikiwezekana za Ulaya.
 
Kweli kabisa, haiwezekani mgombea ateue tume ya uchaguzi ambao yeye na chama chake pia ni wagombea
 
Waamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa uwanjani. Kuondoka na tabia hii nchi za Africa Mashariki zibadilishane waamuzi wa ligi kuu ili kupunguza upendeleo unaotokana na mahaba ya mwamuzi kwa club zao. Inabidi waamuzi wa huku wakachezeshe kule na wa kule waje kuchezesha huku, hii inaweza kusaidia mpira wa kanda hii
Nakataa...kuinua mpira piga chini malinzi
 
Tenga alikuwa kiongozi mkuu wa mpira aliyetokana na kikazi cha mpira, lakini hatukuona kitu cha maana kimetokea kwenye mpira wa Tanzania kipindi chake. Tuache fitina kwa Malinzi kuna factors nyingi Tanzania zaidi ya viongozi wa tff
 
Factor mojawapo ndo io ya viongoz mbofu mbofu haswa huyu wa sasa. Piga chini malinzi weka kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom