" The great Michael Wambura" makamu wa rais mtarajiwa TFF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,494
2,000
Kama hujajuaa hilii nakumegeaaa tripuu hii ujinga atutakii tunaweka viongozi wa ukweli bila kujali usimba na uyangaaaaaaaaa

Namkaribisha kwa mara nyingine tena na tena kwangu namwita JEMEDARI
AMA Mpambanaj asiechoka anaejiamini si mwingine ni makamu raisi mtarajiwa hon MICHAEL WAMBURA

Naamini uwezo wa wambura sina shaka nae hata kidogo kwa yaliomkuta akiwa na figisufigisu za Simba nolijua karudi kijijini Kamanda akuchoka kaenda kukamata uongozi mkoani na sasa kwa mara nyingine teeeena na teeena anagonbea uongozi wa Tff...
Wakati mwingine

MUNGU ANA MAKUSUDI KUKUPITISHA KWENYE MOTO IILI ITOKE DHAHABU ILIO NJEMA

Kwa upande wa Michael wambura naona lulu ya taifa kwenye michrzo na trip hiii wapiga kura msikoseee kijana anapita mpaka huko kwenu mmalize wenyewe

Vote for [HASHTAG]#MICHAEL[/HASHTAG] WAMBURA(sio kampeni tunaitaji viongozi bora na sio bora viongozi))
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,560
2,000
Huyu Wambura wasimba si alifungiwa kujihusisha na mpira baada ya kupeleka masuala ya mpira mahakamani au ni mwingine?
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,494
2,000
Huyu Wambura wasimba si alifungiwa kujihusisha na mpira baada ya kupeleka masuala ya mpira mahakamani au ni mwingine?
Huyoohuyo ulizaa aLipopatia uenyekiti wa chama cha mkoa wa m.....tff watakueleza n nani..by the way amekuwa n kamisaa mara nne mechi za caf
Kama caf wanakuelewa kuna anaekupinga mkuu

Gooo michaaeeel go wamburaaa go
 
jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,915
2,000
Huyu ndio master mind wa kuendeleza utawala jirani yangu Jamal Malinzi.
Kumbuka Uchaguzi wa wenyeviti wa vyama vya soka vya mikoa.
Kumbukumbu hao wenyeviti ndio wapiga kura.
Ni vigumu sana kwa Jamal Malinzi kushindwa huu Uchaguzi.
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
4,961
2,000
Hawa ndio waleta vurugu kwenye soka letu. Wakina Tenga walimnyoosha, Malinzi akamfungulia baada ya kumsaidia alipochinjwa na Mkali wa fitina Mh. Hakimu Id Mtiginjora na Nyamlani.

Pambano linajirudia. Wengine wasindikizaji. Rais ni Nyamlani au Malinzi
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,310

Ondoa au,sema Rais ni Jamali Emily Malinzi.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Huyu ni True fighter hana mawaa.
Aaah wapi, hana tofauti na Rage...wameharibu sana mpira wa bongo kwa kutafuna misaada ya FIFA

Kwa zile fedha nchi ilizokuwa inafaidika toka FIFA kungelikuwa na kiongozi makini tungelikuwa na sports academy na viwanja kadhaa vya hadhi ya Chamazi...
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,310
2,000
Aaah wapi, hana tofauti na Rage...wameharibu sana mpira wa bongo kwa kutafuna misaada ya FIFA

Kwa zile fedha nchi ilizokuwa inafaidika toka FIFA kungelikuwa na kiongozi makini tungelikuwa na sports academy na viwanja kadhaa vya hadhi ya Chamazi...
Ndio maana tunasema tumpe second term Malinzi ili amalizie zile programs za vijana alizozianzisha ikiwemo na hizo academy.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,370
2,000
Huyu Wambura wasimba si alifungiwa kujihusisha na mpira baada ya kupeleka masuala ya mpira mahakamani au ni mwingine?
Ndiyo huyo huyo. Sijui kwa nini watu wanasahau kirahisi namna hii. Kama ni ku balance u Yanga na Simba, hakuna watu wengine?
Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa FAT wakati huo. Kipindi akina Tednga wanaingia ofisini hakuwahi kukabidhi ofisi kwa kuhofia madudu yake. Leo hii anapata wapi ujasiri wa kugombea TFF?
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,310
2,000
Hapewi yeye na Wambura ni wezi na wavurugaji wa mchezo wa soka. Mambo yao huendesha hovyo hovyo na migogoro haishi kwenye mpira.
Nimekwambia subiri kampeni zianze rasmi halafu tuje hapa kumwaga upupu wa Nyamlani aliokuwa anaufanya KIFA kuanzia uwanja wa mabatini mpaka ligi za wilaya.
 
TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
2,000
Atoke zake huko. We need new face in our football, tatizo siyo yeye, tatizo ni jahazi alilochagua kusafiria. Siasa ni mahesabu, ajipange wakati ujao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom