TAWA JF-Expert Member Jun 23, 2013 3,667 1,566 Jun 25, 2017 #1 Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
kuduman201036 JF-Expert Member Aug 26, 2015 4,057 2,163 Jun 25, 2017 #14 Tembele ally mayai """Turudishieni Mpira wetu""
TAWA JF-Expert Member Jun 23, 2013 3,667 1,566 Jun 25, 2017 Thread starter #17 Tupige kura kwa kubonyeza link Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
Jabman JF-Expert Member Jul 27, 2016 1,005 1,335 Jun 25, 2017 #18 Mayai matamu na Tembele ndo mboga yetu. Malinzi yameshindwa kutulinda Kibiti. Yatupishe
TAWA JF-Expert Member Jun 23, 2013 3,667 1,566 Jun 25, 2017 Thread starter #19 NYINGWA said: Masikini Malinzi!!! Hakubaliki kila kona. Akishinda nitaamini uchawi upo. Click to expand... Hali yake si nzuri katika kinyang'anyilo hicho
NYINGWA said: Masikini Malinzi!!! Hakubaliki kila kona. Akishinda nitaamini uchawi upo. Click to expand... Hali yake si nzuri katika kinyang'anyilo hicho