Wagombea Urais TFF wamewahi kucheza mpira?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,136
2,000
Wakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna
ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa
Ualimu wa Mpira?

Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa ya mmoja mmoja ili niweze
kumfahamu vizuri kwenye Tasnia ya mpira yukoje kabla sijaamua nani wa
kumpigia kura.
 
ruwaeyishi

Member
Jan 15, 2017
86
95
Wakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna
ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa
Ualimu wa Mpira?

Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa ya mmoja mmoja ili niweze
kumfahamu vizuri kwenye Tasnia ya mpira yukoje kabla sijaamua nani wa
kumpigia kura.
Wap?zuga tu
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.
Tenga si alikuwaga msakata ndinga?
Kuna nini cha ziada toka kwa wasakata kabumbu wastaafu?
Wana taaluma ya uongozi?
Au wanajua kutoa maboko mwanzo mwisho?
Upeo wa wachezaji wetu wastaafu ni mdogo kiuongozi!!
Wamejaza lawama vichwani kuliko ubunifu wa programs zinazoweza ku yield miaka 15 - 20 ijayo.
 
Wakati wa Tenga Tulikuwa nafasi ya ngapi katika Rank za FIFA na
wakati wa Malinzi tuko Rank ipi?
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,742
2,000
Tukiamua Kigezo cha kupitishwa kwny Mchujo wa nafasi ya Uenyekti ni kupiga Danadana kumi Basi huenda akapitshwa Ally Mayai pekee!
 
Mtimti

JF-Expert Member
Feb 23, 2008
941
1,000
Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.
Ndio maana watu wanaenda shule kusomea 'management".....atafutwe mtu mwenye mipango na anayeweza kusimamia sheria. ......tunaweza pata mchezaji wa zamani mzuri kama 'Boban',je unadhani ataweza kuongoza?
 
GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,136
2,000
Ndio maana watu wanaenda shule kusomea 'management".....atafutwe mtu mwenye mipango na anayeweza kusimamia sheria. ......tunaweza pata mchezaji wa zamani mzuri kama 'Boban',je unadhani ataweza kuongoza?
Hewaaa! Sasa hapo ndipo kuna kitu kinaitwa sifa za ziada hivyo tunataka
kujua ni nani ana hizo sifa za ziada?
 
ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,114
2,000
Hatafutwi kocha mkuu, anatafutwa zaidi ya kocha. Sasa kama unatafuta mpishi
wa Biriani halafu ukaletewa mtu hata chai hawezi lazima uwe na mashaka.
Mpira sio Biriani. Pele alipewa uwaziri wa michezo Brazil, Timu ikakosa Ubingwa World Cup.
Mkwasa (kocha, nahodha, katibu) Timu imefungwa na Mbao.
Mpira ni kitu kingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom