Ukweli kuhusu usajili wa Simba

thuma

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
369
496
Habari za weekend wandugu!

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.

Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.

Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.

Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .

Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
 
utakuwa huna akili sio bure hebu kalale
Mkuu kutokuwa kwangu na akili kuko wapi?
Tumeona ujio wa Okwi na picha mmeambatanisha kwanini za Niyonzima na Ngoma hamuweki kuprove hayo mnayoyasema?

Kati ya Mimi na wewe nani hana akili?
Nani anaamini kila uzushi?
Nani amehadaiwa kuhusu rufaa ya FIFA?
Jipange njoo na hoja si matusi.
 
Ww umesha hoji kuondoka kwa niyonzima yanga? Je ulipewa majibu gani na viongozi wa yanga tuwekee hapa ndio update uhalali wa kuhoji majibu ya kuondoka kwa ajibu, vinginevyo ww ni mmbea tu.
 
Mimi cyo shabiki wa simba ila ni vizuri ukakaa kimya kwanza maanake lisemwalo lipo kama halipo laja....

Naweza kubwabwaja Utumbo hapa mwisho wa siku unasikia Niyonzima , msuva haooooo wamesaini matopeni....

Nianze kuja kukazana kufuta au kuedit thread humu....

Siamini kama Hawa viumbe wataenda kwa Wamatopeni ila ni muhimu kukaa kimya mpaka dirisha lifungwe...
Swadakta ya Nature, karibu sikukuu tusherehekee Eid El_fitr
 
Habari za weekend wandugu!

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.

Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.

Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.

Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .

Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.nyozima ndani ya nyumba wewe, yanga mlie tu machozi ya ndoo nzima

Mimi cyo shabiki wa simba ila ni vizuri ukakaa kimya kwanza maanake lisemwalo lipo kama halipo laja....

Naweza kubwabwaja Utumbo hapa mwisho wa siku unasikia Niyonzima , msuva haooooo wamesaini matopeni....

Nianze kuja kukazana kufuta au kuedit thread humu....

Siamini kama Hawa viumbe wataenda kwa Wamatopeni ila ni muhimu kukaa kimya mpaka dirisha lifungwe...
Uzushi haunyamaziwi mkuu! Mleta mada hajakosea, hata kama unajinasibu wewe si mpnzi wa mnyama lkn uoneoneka ni mbumbumbu mwenzao kama sivyo mbona wewe hukukaa kimya kama unavyoshauri?
 
Madawa ya kulevya yamezuiwa kwasasa hvyo safari za uturuki hazipo tena .yanga tulieni acheni kubweka.
 
Niyonzima ana mkataba na yanga atapigwaje picha akiwa na simba ? Wewe kweli ni wa nchi hii ! Jitathimini na uombe uraia haraka ili uwe update
 
Hata kapombe hajamaliza mkataba na Azam .lakini Picha zipo akisain simba
 
Mkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simba
Nyiyi makinikia fc so mnajisibu kumsainisha Ajib? vipi mbona hamrushi pics zake akisaini??
Simply bado mkataba haujaisha.....Simba imewatambulisha wachezaji iliyowasajili ambao wameshamaliza mikataba ndo maana had I sasa haijatangaza rasmi hadharani Niyonzima na Manula.......

Likewise nyie makinikia aka ngada aka vyura aka watalii wa kimataifa mlimtambulisha yule back wenu sijui mnamuita Ninja ila hamjafanya hivyo kwa Ajib na Rafael Daud
 
Habari za weekend wandugu!

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.

Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.

Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.

Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .

Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Sasa wewe POVU la nini?, Jiulize mwenyewe ukipata jibu JITAFAKARI.
 
Kwa hiyo kapombe na manula na mwambeleko na jana okwi pia ni feki? Huna akili timamu
 
Back
Top Bottom