Picha:Haruna Moshi Boban wa Faru jeuri na V.Wanyama wa spurs,hii picha ina stori ya kusisimua

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,467
2,000
Hii picha imenifurahisha kusema kweli ,.

Haruna moshi Boban jina la Boban ni nickname kutoka kwa kiungo wa Croatia Boban.Haruna alipata nafasi kwenda Sweden kucheza kama sijakosea na alisindikizwa airport huku nyuma watu wakiamini atatoboa sababu ya umahiri wake wa kutandaza soka kilichotokea ndani ya muda mfupi Haruna alishindwa kukaza na kurudi nyumbani huku akitoa madai mengi yupo mpweke sababu ya mazingira ,mshahara sio mkubwa sana nk

Wanyama na yeye alibahatika kwenda ubelgiji na kwa maelezo yake ilifika mahali alikata tamaa lakini alikaza na saizi yupo hapo alipo

Hapa Haruna moshi Boban akiwa kwenye timu ya Faru jeuri akicheza ndondo na wanyama
8a7c394ed6e70f12e430f9296cfb2eb6.jpg
 

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,467
2,000
Sema tu umetoa kwa dauda then uendelee na story.
Hii picha nimeipata ikizagaa mitandaoni ase wala sijatoa kwa Dauda ,huenda akawa source ni yy lkn nimeikuta mitandaoni ikitupiwa sana nadhani unafamu kitu kikipostiwa fasta whatsap ,fb ,insta husambaa .na
 

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,133
2,000
Hii picha nimeipata ikizagaa mitandaoni ase wala sijatoa kwa Dauda ,huenda akawa source ni yy lkn nimeikuta mitandaoni ikitupiwa sana nadhani unafamu kitu kikipostiwa fasta whatsap ,fb ,insta husambaa .na
basi ungeweka kwa mujibu wa mtandao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom