Ndugu wananchi....
Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook.....
Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja...
Wadau habari za usiku.
Mimi ni fanatic (mkereketwa) football fan na die hard Barcelona fan since 1993 enzi za Hristo Stoichkov na Romario De zouza.
Jezi mpya za Barcelona ambazo "Blaugrana"...
KUNA kitu kinaendelea Dar es Salaam. Leo Jumanne kutakuwa na mchuano mkali baina ya vigogo wa Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, kila mmoja akimwwania Donald Ngoma.
Yanga...
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.
Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana...
KickOff.com can confirm that Polokwane City
have completed the signing of Zimbabwean
striker Donald Ngoma.
The 27-year-old has penned a three-year deal
with Rise and Shine after undergoing a...
Habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja wa Marafiki wa karibu / mkubwa sana wa aliyekuwa Mchezaji wa Yanga FC Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ( jina kapuni ) zinasema kwamba wana Simba SC '...
Mlinda mlango wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Aishi Salum Manula, amekanusha kusaini na Klabu ya Simba huku akiongeza kuwa vipo vilabu vingi vya hapa nchini alivyofanya navyo mazungumzo na...
Manchester hoi kwa Liverpool
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Liverpool, Rafael Benitez amepata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu dhidi ya Manchester United, kwa bao la dakika za mwisho...
Msimu wa ligi barani Ulaya unaisha wiki hii,na mabingwa wamepatikana
England-Man United
France-Lyon
Spain-Real Madrid
Germany-Bayern Munich
Portugal-Porto
Holland-PSV
Imebaki Italy kati ya...
Kipindi hiki cha Usajili VPL....
Kuna watu wameingizwa sana mkenge. Pongezi zimfikie mwenye jicho hili.
Mchezaji akimaliza mkataba na timu yake, hili linafanyika. Tunakupa 50/- wale wanasema 70...
Leo, June 25 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao ni wageni waalikwa katika michuano ya COSAFA 2017 inayoendelea nchini Afrika Kusini, walicheza game yao ya kwanza ya michuano hiyo...
Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
Nimeshangazwa sana na uwezo wa mchezaji huyu mkongwe na beki wa kati wa Timu ya Mexico.
Baada ya kumuona tena jana akiwa na uwezo ule ule wa miaka yote kwenye game ya Confederation cup dhidi ya...
Baada ya shabiki mmoja wa Yanga kuonekana akiichoma moto jezi ya kiungo Haruna Niyonzima.
Niyonzima raia wa Rwanda, ameamua kuondoka Yanga baada ya mkataba wake kwisha na klabu ya Yanga ikawa...
Wote mnakumbuka miaka ile ya 90 jinsi komandoo Muhidini Ndolanga alivyokuwa anashinda chaguzi za FAT against all odds!
Licha ya nchi nzima kumpinga pamoja na Serikali Chini ya waziri Juma...
Hizi kampuni za Betting(M.bet na MKEKA BET)kama sio Matapeli basi ni wezi wanatumia Number za simu sawa na 300300 namba ya kampuni ila ukipiga simu wanasema sio wao 0762768500/0758833333.Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.