Wana jf jana nikiwa pande za TANGA maeneo ya muheza nikashuhudia hili tukio la busi la hajees likiwaka moto bila kufahamu chanzo cha moto huo. Kwa bahati hapakuwa majeruhi wala aliye poteza...
Watoto hawa wapo kwenye shock na hofu ya kutisha,taifa na viongozi wanatakiwa kusimami a sheria ili mambo yanyooke,vinginevyo kila siku itakuwa vilio tu.
Viongozi wajiulize kwa nini nchi kama...
Unakumbuka ukiwa mtoto ukiangalia movie kali basi ukitoka hapo unataka na wewe kujida Rambo...Van Damme...Solo...
hapa dogo huenda anajidai Rambo anakimbia (slow) kabla bomu halijalipuka... hapo...
Wakuu
Nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na nyomi hiyo hapo jana pale pamba road ikimusindikiza wenje toka mara baada ya kuhutubia pale uwanja wa sahara
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.