Awesome!! We complain about the cross we bear but don't realize
it is preparing us for the dip in the road that God can see and we can't.
Whatever your cross, whatever your pain,
there will...
The man who streaked during the England-Argentina Rugby World Cup game could show a cheeky side-step to special laws set up to prevent such disruptions.
The 23-year-old Kenyan-born man...
Miaka 50 ya Uhuru inapita huku bado nchi yetu imeshindwa kupiga hatua katika sekta ya nishati, serikali imeshindwa kulinda maliasili, wanyama kama twiga wanatoroshwa na kuuzwa kwa bei ya sawa na...
Baada ya miaka 50 ya uhuru je tumefanikiwa katika yale malengo ya uhuru ya kuondoa maadui watatu ujinga maradhi na umaskini ????, Je watoto wetu wanapata elimu bora ?
Je tumeondoa adui maradhi ...
Awali ya yote na ninyi nyooote napenda nidcrea interest...mimi ni mpendwa ninaye amini na kusimamia kwamba YESU ndiyo bwana na mwokozi wangu,Amen.
Kisha turudi katika isue ya mh....aseeeee!!! ...
wapendwaa hii imetokea kwenye campenii igungaa,wiki km mbili,jamaa anaitwa musa tesha...ni mpigaa debe au kelelee wa CCM,alijikuta hoi bin taaban hosptali baada ya kumwagiwaa tindikaliii aka acid...
Ndugu wadau.
Mengi yalisemwa kuhusu ndugu yetu Hassanali kuhusu the way alivyopunguza uzito. Wengi wao walidai kuwa jamaa alifanya surgery kuondoa extra fat mwili kwake. Na kweli jamaa ali-trim...
Nimeziona picha nyingi kuhusiana na ajali ya meli Zanzibar, lakini picha hii imenigusa kwa namna ya pekee kabisa. Nikiangalia sura zao zisizo na hatia, ninaona kuwa kama taifa, tumewaua malaika...
Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je...
Nimepita barazani kwa kaka michuzi nimekuta kuna habari kwamba kuna mgonjwa anawatafuta ndugu zake,, kwa bahati mbaya hapa kwangu nimeshindwa kuangalia picha za mgonjwa mwenyewe kama ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.