Hajees bus lawaka moto

yangoma

Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
72
Points
0

yangoma

Member
Joined Sep 1, 2011
72 0
Wana jf jana nikiwa pande za TANGA maeneo ya muheza nikashuhudia hili tukio la busi la hajees likiwaka moto bila kufahamu chanzo cha moto huo. Kwa bahati hapakuwa majeruhi wala aliye poteza maisha hapo,Hivi mbona usalama wa maisha na mali zetu ni mdogo katika vyombo vyetu vya usafiri? Nawasilisha

Image0393.jpg Image0394.jpg Image0400.jpg

hivi ndivyo ilivyo kuwa

Image0402.jpg
jamaa wpo bize katafuta masalia

Image0397.jpg

tukawa mashuhuda
 

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,978
Points
1,195

Jeji

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,978 1,195
hivi huwa yana kaguliwa kweli?? maana mabasi yaliyo mengi ni scraper
zinazo tembea. kama mabasi ya kilombero na ifakara ni mabovu sana.
 

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,014
Points
1,195

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,014 1,195
Kwa kweli hapo umenena. Hivi Ifakara bado ni sehemu ya Tanzania?
Kwenye red.Ukisema Ifakara je Ulanga,Malinyi,Mahenge ,Tnaganyikamasagati,Bilo Utapaitaje?Nafikiri wewe ujafika Ifakara eeeh.Ifaka pale uone.Nenda Ifakara Health Instute,Tanzanian Training Centre for International Health ni ulaya ndogo uwezi kosa zaidi ya watu wa mataifa 50 kila siku pale.
 

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,014
Points
1,195

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,014 1,195
Kwa kweli hapo umenena. Hivi Ifakara bado ni sehemu ya Tanzania?
Kujua kweli ni sehemu ya Tanzania angalia hizo picha chache utajua :

Picha chache za Ifakara
1.Nyumba ya mbu-Utafiti
2.Bweni la AMO
3.Nyumba ya wageni
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,379,857
Members 525,596
Posts 33,758,773
Top