Angali watoto walivyonashoku

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Watoto hawa wapo kwenye shock na hofu ya kutisha,taifa na viongozi wanatakiwa kusimami a sheria ili mambo yanyooke,vinginevyo kila siku itakuwa vilio tu.

Viongozi wajiulize kwa nini nchi kama Japani karibu kila raia ana gari lakini ajali kwa mwaka mfano mwaka jana ni asilimia1.2, Tanzania ni asilimia 43.8, mwaka huu tayari imefika asilimia 57.3
 

Attachments

  • POLENI SANA.jpg
    POLENI SANA.jpg
    323.4 KB · Views: 150

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,591
434
Naogopa sana maji coz sijui kuogelea.. lazima watoto wangu wajue kuogelea sametimes inasaidia kwenye majanga kama haya...
 

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
409
Naogopa sana maji coz sijui kuogelea.. lazima watoto wangu wajue kuogelea sametimes inasaidia kwenye majanga kama haya...
...Si lazima ukijua kuogelea likitokea tukio kama lile mtoto akawa mwepesi na ujasiri wa kuogelea ukizingatia kina cha maji ilipozama meli ni kirefu Kumbuka kuna kuchanganyikiwa, woga uliokithiri na hali giza...Si rahisi kama unavyofikiria...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom