Ni mateso bila chuki

Ni mateso bila chuki

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Check out the attached document herein.
 

Attachments

  • INATISHA.jpg
    INATISHA.jpg
    53.5 KB · Views: 238
Kama Kenya vile.Jamani mbona hivyo..Acheni hizo bwana hao ni binadamu na sio wanyama.
 
Kumbe wanafanya hivi. Wapi hii ilitokea?. Inasikitisha kweli.
 
Hapa ni swaziland- mabinti wanakaguliwa kama wanabikira kabla ya annual reed dance. Hii picha ipo humu kitambo.
 
Someni vizuri vitabu vitakatifu muvielewe na kutafakari, binadamu kila kukicha napotosha mambo ili kumfurahisha shetwani tuuuuuu.
 
mmh inatisha kweli au wanaigiza jamani? kwani hua zinafinyika hadharani hivi???
 
Back
Top Bottom