Unakumbuka ukiwa mtoto ukiangalia movie kali basi ukitoka hapo unataka na wewe kujida Rambo...Van Damme...Solo... hapa dogo huenda anajidai Rambo anakimbia (slow) kabla bomu halijalipuka... hapo anasema iyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe...