Fiesta 2011

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
14.jpg

8.jpg

9.jpg

15.jpg

12.jpg

6.jpg

5.jpg

Hizi kucha za huyu dada zimeniacha hoi!
4.jpg

23.jpg

33.jpg

41.jpg

42.jpg

25.jpg
 
Attachments

  • 42.jpg
    42.jpg
    139 KB · Views: 125
Doooh...Huyu mzungu atakuwa Mdau Serengeti Breweries... akiziona hizi picha leo lazima aibu impate...
 
Inaonyesha kizazi cha kitanzania sasa mwendo ni disco na fiesta tuuuu kwa vijana, mi nadhani hii ni kwa sababu viwanja na sehemu zote za wazi zimechukuliwa na mafisadi sasa vijana wa taifa raha yao ni fiesta , kiduku na kucheza disco,,,,sijui mwisho wake utakuwa wapi?nadhani tunahitaji kufikiri kwa kina kwa manufaa ya taifa la kesho.......nawakilisha[/b][/b][/font]
 
Mambo ya vijana haya, wengine waliiba magari wakatokomea hadi kesho yake.
 
6.jpg

Huyu jamaa aliye nyuma ya DULI namjua ila daaah
sikutegemea kama namwenyewe anajipa raha kivile

Mtoto wa kimarangu hakamtiki siku hizi....Huyu demu aliye nae nimemsahau jina kidogo, Namkumbuka enzi hizo nasali pande za mbezi b nilikuwa na muonaga church alikuwa hot sana, siku hizi naona kazeeka kuliko sisi wazee wenyewe!
 
Huyo mzungu, kwa wadhifa alionao,,kwa uzungu alionao,,kwa wakati ule wa nyomi la watoto wa geti kali na vyuo, ivi huyo demu alikua na hadhi gani ya kua nae???
 
Huyo mzungu, kwa wadhifa alionao,,kwa uzungu alionao,,kwa wakati ule wa nyomi la watoto wa geti kali na vyuo, ivi huyo demu alikua na hadhi gani ya kua nae???

Wazungu wanpenda sana kuku wa kienyeji! Hao watoto wa geti kali atakuna nao wapi?
 
Mtoto wa kimarangu hakamtiki siku hizi....Huyu demu aliye nae nimemsahau jina kidogo, Namkumbuka enzi hizo nasali pande za mbezi b nilikuwa na muonaga church alikuwa hot sana, siku hizi naona kazeeka kuliko sisi wazee wenyewe!

Huyo ni Allan Chonjo, ni Meneja wa bia ya Serengeti...Uncle Rukus huyo ni Mchumbake mbona bado kifaa sana au kazeeka sehemu gani Uncle Rukus??? Jina lake linaanza na B***
 
Back
Top Bottom