Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Apambana nae mpaka dakika ya mwisho na kuweza kuinusuru roho yake,jirani wamsadia na kumpeleka hospital (chanzo Aftobolaget)
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ajali mbaya huko Florida karibu na mji wa Gainesville iliyosababishwa na hali mbaya ya ukungu na moshi . Ni moja ya ajali mbaya sana zilizowahi kutokea miaka ya karibuni baada ya ile ya Maryland...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ndivyo itakavyokuwa, unguja na pemba vinaonekana kama tarafa katika nchi hii kubwa ya tanzania. Big up prof. Hon. Tibaijuka na waziri wa ardhi wa smz kwa hatua mliyochukua as kuonezewa kwa...
9 Reactions
55 Replies
9K Views
madaktari wakiwa kwenye kikao endelevu ukumbi wa starlight!!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mazingira kama haya mazao ya Zanzibar yanaweza kupata soko katika nchi za Ulaya?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Sasa anapiga mluzi wa nini hapa? Halafu siku hizi hakai front row?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maswali mengine inakuwaga vigumu kuyajibu!
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mambo ya Wagogo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mia
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Lions of Vladislav Goncharov perform during the awards ceremony for the 36th Monte Carlo International Circus Festival in Monaco January 24, 2012. Picture taken January 24, 2012.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila baada ya dakika 6 mtoto mmoja anakufa Huko Somalia Tunaomba Muwasaidie Ndugu zetu wakisomali kwa njia yeyote ile mnayoweza صو&#1585...
0 Reactions
84 Replies
18K Views
jamaa anaweza kumwachia! n a hatorudia tena
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mapumziko mema ya weekend, eat fresh, enjoy what your earn during the long week, stay safe and sober.
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Tusilaumiane, kila mtu ajiangalie na kujikosoa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ukizingatia gari yenyewe breki inashika tairi moja tu. mia
1 Reactions
8 Replies
2K Views
...........Huyu hapa..............
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii kitu ni balaa turbo charge!! Nawatakia nyooooote Weekend Njema, hivi ni leo au kesho ndio Wana JF tunakutana tufahamishane na venue Tafadhali
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kwa tabia za watawala zetu zilivyo, picha hii ya Bill Gate na Kikwete itakuwa big hit. Kwa ufupi mtaambiwa kuwa mkiona rais anasalimia na Bill Gate mjue uchumi unakuwa kama alivyowahi kujisifia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumbe c kwa watu wa Pwani tu, angalia Kima huyu na mzigo huo!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom