South America wado wako Stone age (no contact to the real worl).

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
e5fd9fa3217adf03050f6a706700b501.jpg
2012-01-31T184700Z_617480155_GM1E821073G01_RTRMADP_3_PERU.JPG


Peru - Lima kabila liishilo msituni hadi leo. Kwa habari zaidi soma [h=3]Isolated tribe makes uncomfortable contact[/h]
 
And may be they have very comfortable life. Hawajui shida za hichi kizazi cha JK

Kuna makabila mengi kila mabara walioamua kuishi kwa mtindo huo na hawna bugudha tunazozipata sisi. Niliwahi kutembelea state ya PA huko Marekani nilipokuwa huko miaka si zaisi ya 6 iliyopita, nilishuhudia kuna watu wanaishi maisha ya awaida kama ya vijijini kwetu wakichunga mbuzi, kondoo, ulima njegele, mahindi na mengineyo kwa jembe la mikono. Hawana umeme ila hutumia chemli kwa mafuta ya taa. Nyumba zao nilikatazwa kuchukua picha, ila ningechukua mngeshangaa kama ni Marekani. Walisema wanajisikia wanaishi vizuri bila kubanwabanwa na shseria . Wanajisikia wako huru kabisa.

Kuna wazungu wengine huko State ya Lousiana, Mississippi na Alabama huwezi kuamini wanavyoishi, wanaishi very isolated na wamechanja na kubadilisha nyuso zao totally ni bush people. Hawafui nguo zao na zimeja viraka tangu ziwe mpya hazijafulia. Wanawake wanavaa nguo ndefu hadi karibu kufika nyayoni, ila wananuka kwa kutofua nguo zao na sijui kama wana ratiba za kuoga kama tulivyozoea wengine. Maisha yao ni kama jamii za wafugaji nchini mwetu Tanzania waliozoea kujipaka dinga utamaduni wetu wa kung'aa zaidi.
 
e5fd9fa3217adf03050f6a706700b501.jpg


Mbona wana afya nzuri sana ati!

Ni dhahiri, unaona back ground you kulivyo green? Nyamachoma kwao ni shauri ya kuchukua upinde na kuvizia kwenye mapito ya nguruwe mwitu wanarudi na kitoweo. Hawanaga ile nyama ya kwenye mabucha au ile ya kugandishwa kwenye mabarafu hainaga ladha nzuri. Miilili yao imejaa vizuri na kuonekana wana nguvu za asili tofauti na sisi tunaotumiaga mashine kujenga misuli (gym)
 
Hawa jamaa wanaishi kwa raha sana, hakuna kupanga, cjui kwenda kazini, shule....wao ni kula na kuishi tuuu..kama bustani ya Eden vile!
 
Hawa jamaa wanaishi kwa raha sana, hakuna kupanga, cjui kwenda kazini, shule....wao ni kula na kuishi tuuu..kama bustani ya Eden vile!

Nimebaki kushikilia mbavu zangu, hapa jf kuna watu wa sample zote, ukiona siku hiyo ni blue day ingia jf
 
Back
Top Bottom