Tanzania 2012

Tanzania 2012

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Wakuu hii ndio Tanzania 2012
SAM_4214.JPG


Piki piki aka boda boda ikiwa imebeba mwili na kuusafirisha tayari kwa maziko huko bukoba...
SAM_4207.JPG


SAM_4195.JPG

Pikipiki ikiwa mwendo wa kasi inatoka Ndolage Hosp.kuelekea Ichwandimi kupitia Nyakigando maeneo ya Rubale.

394899_288158501242356_100001446249807_855699_1567746946_n.jpg

Hii ni maiti ikisafirishwa kutoka Ndolage hosp.kuelekea kijijini Ichwandimi hali hii inaweza kukushangaza ila hii ni hali ya kawaida kwa wakazi wa Rubale na Nyakigando,na Misenye.
SAM_4202.JPG

Baada ya Kuongea nae na kutueleza kuwa yeye amekodiwa na jamaa mmoja alie fiwa na mke wake hii ni maiti ya Mwanamke. Ndg Mdau bukobawadau tumeguswa sana na hali hii tena katika maeneo ambayo si vijijini sana unapo ongelea Ndolage ndio
http://www.bukobawadau.blogspot.com
 
duuuu!! hakyambungu kweli dunia hadaa ulimwengu ni shujaa!!!!
 
MKUU cdhani kama post hii ilitakiwa kuwa mahala pa CELEBRITIES...
 
MKUU cdhani kama post hii ilitakiwa kuwa mahala pa CELEBRITIES...
aah sorry nilijua nimeweka jamii photo,....sorry mods naomba iwe jamiiphoto pls
 
Maisha Bora kwa kila Mtanzania.
Raisi ameshasema atapeleka bajaj kubebea wagonjwa nazani ndio anafanya majaribio kama ata pikipiki kama itafaa.
Mambo yanasikitisha sana wengine wanabeba maiti na pikipiki uku MAMA SALIMA ANAENDA KWENYE KITCHEN PARTY NA MSAFARA WA LAND CRUISER 5.

Mungu uliyejuu tunaomba umpoke marehemu mahala pema peponi.
 
Maisha Bora kwa kila Mtanzania.
Raisi ameshasema atapeleka bajaj kubebea wagonjwa nazani ndio anafanya majaribio kama ata pikipiki kama itafaa.
Mambo yanasikitisha sana wengine wanabeba maiti na pikipiki uku MAMA SALIMA ANAENDA KWENYE KITCHEN PARTY NA MSAFARA WA LAND CRUISER 5.

Mungu uliyejuu tunaomba umpoke marehemu mahala pema peponi.
ina huu
 
Duh so so sad
Ni jambo la kusikitisha sana mkuu wa nchi anatumia Mi. 300 kwenda kwenye mkutano wakati watu hata usaifir wa kusafirisha wapendwa wao waliokufa unakosekana
Mungu muweke mahali pema marehem huyo
 
Hii ni hali ya kawaida kabisa ktk sehemu nyingi huko vijijini.Ni afadhali ya pikipiki kwani wengine huwa wanatembea kwa miguu wakiwa wamebeba maiti katika machela ambapo wengine wanabeba kwa baiskeli. Tukumbuke kuwa wanafanya hivyo kwa kutembea umbali mrefu kama kilomita 20 au zaidi.Sasa je ni vipi baadhi ya wanasiasa wanaopinga sera ya bajaj, wako sahihi au ni unafiki?
 
hii kweli noma, hivi katika nchi hii hakuna taasisi zinazoshughulikia haki za binadamu?
 
kwa kuonyesha kuwa hilo ni jambo la kawaida kabisa, huyo jamaa aliyebeba anacheka.........dah kweli ni hatari sana......jamani tuwakatae hawa wabadhilifu wa mali za nchi hii kwa vitendo sio maneno tu.....tusipokuwa makini kizazi chetu kitaisha kitabaki kizazi chao tu.
 
Baada ya miaka 50 ya uhuru hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania
 
Duh so so sad
Ni jambo la kusikitisha sana mkuu wa nchi anatumia Mi. 300 kwenda kwenye mkutano wakati watu hata usaifir wa kusafirisha wapendwa wao waliokufa unakosekana
Mungu muweke mahali pema marehem huyo

Mkuu unajua serekali yetu ni sawa na baba mlevi haijui vipaumbele!
 
Kweli inasikitisha kuliko!
R.I.P. marehemu.
 
Nadhani mimi itanibidi niwe tofauti kidogo na wachangiaji wengine,hivi serikali inahusika na usafirishaji wa maiti au ni jukumu la wafiwa?Sasa kama wafiwa uwezo wao ndio huo sioni ni vipi serikali inalaumiwa,labda tu ningeilaumu serikali kama mgonjwa ameshindwa kufika hospitali sababu ya barabara mbovu,lakini nikionacho hapo ni barabara iliyonyooka.
 
Mimi nimetumia pikipiki kwa miaka mingi, sina pingamizi. Huo ndiyo ukweli wa maisha.
 
Back
Top Bottom