Sasa hivi ndio nini wana jf?

Sasa hivi ndio nini wana jf?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
407630_371121089568848_100000128794262_1614216_2008358093_n.jpgHio cake nimepewa leo kwenye birthday yangu ilikuwa surprise,sijui wamefikiria nini
 
waliokupa hawakupendi! vinginevyo ni watani zako.
 
Yaani hata kama ni tamu kiasi gani ile image tuu ya toilet inaondoa hamu yake yote
Pole mkuu inawezekana huyo mtu ni mtani wako au kuna ugomvi kati yako na yeye
 
Hahaaaa hao hata apetite inapotena kabisaaaa
 
Asikudanganye mtu. Unajua tafsiri ya keki inafanana na tafsiri ya ndoto. Keki hii maana yake ...PUNGUZA KULA!
Kula sana ni hasara (utapoteza muda wakati wa kula, utapoteza ufanisi ukivimbiwa, utapoteza muda mwingi zaidi kule toilet.)
FANYIA KAZI.
 
Back
Top Bottom