haya sio mandamano ni msafara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya sio mandamano ni msafara

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Feb 1, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa Lushoto. mia
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa gharama ya nani??au kodi zetu??mbona wamesema serikali haina pesa za kutosha kuwalipa madaktari??
   
 3. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sijui. Napita. Off duty
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wakikua wataacha.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Napita tuu ngoja nikanawe uso njie nione vizuri maana hapa picha inaonyesha mchele mchele
   
 6. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ama kweli nchi imekwisha. Hapo billioni kadhaa zinatumika kwenda kukagua mradi wa milioni chache! Mhhhhhh!
   
 7. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,807
  Likes Received: 3,704
  Trophy Points: 280
  Wataacha wapi bwana...? maana wanchofanya wanaona ni sahihi...
   
 8. B

  Bengal Sanke Senior Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wastage of resources indeed!
   
 9. driller

  driller JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  watakua wapi..? sema wakikuzwa wataacha..! unawasubiria wakue..? miaka hamsini hawajakua unasubiri wakue..? hawa wanataka kukuzwa..!
   
 10. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Wanaochangia bajeti...
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Tanzania siyo kisiwa jamani,hata Kagame anatembelea msafara wa kanaani
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisee hawa jamaa hawana akili duh!
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa ndio naamini kabisa beyond any reasonable doubt kuwa bwa.figa ni kibopa fulani na kazi yake inainvolve kusafiri sana nchini..
   
 14. 1

  19don JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kona ilipunguza gari moja, rip kwa walinzi (polisi)
   
 15. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanaochangia bajeti wakiona haya matumizi,hakuna la ziada zaidi ya fimbo za tumbo.
   
 16. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280


  Mkuu, hao wanaochangia bajeti ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo. Sidhani kama wana nia ya kweli ya kusaidia sisi kuondokana na umasikini. Nafikiri wanapenda sana sisi tuendelee kuwa masikini ili wao watumie mwanya huo kuendeleza interest zao hapa kwetu, ikiwepo kukwapua rasilimali zetu......... kwa kisingizio kwamba wanatusaidia. Kitendo cha kuendelea kutoa misaada kinawafanya watendaji wa serikalini kubweteka sana. Hai ingii akilini kwamba mawaziri na marais wa nchi wahisani wanatumia daraja la kawaida- economy class ( kwenye ndege) wakati wa safari zao, halafu hawa omba omba kutoka kwetu wanasafiria daraja la kwanza! Badala ya kupigia kelele vitu kama hivyo, wao wanakuja na mambo ya haki za mashoga, haki za wanyama n.k! Wanafahamu fika jinsi pesa yao invyotumiwa kugaramia posho, magari ya kifahari na mauza uza mengine kama hayo. Wanazo details mpaka senti ya mwisho, lakini hawachukui hatua.
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Amepita mda si mrefu hapa Arusha!anaenda AICC!
   
 18. mbwigule

  mbwigule JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Waache watanue mara ya mwisho maana 2015 wananchi watachukua nchi yao na kupata Uhuru. Ama kweli CCM ya sasa ni aheri ya Mkoloni.
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Wapi AlShabaab
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wakati fulani nawakubali hawa jamaa!
   
Loading...