CCM Kirumba yawa jiko la kupikia Chipukizi wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kirumba yawa jiko la kupikia Chipukizi wa CCM

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Feb 1, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  CCm imechakaza viwanja vizuri vya mpira wa miguu na vingi sasa kuonekana kuota mafukutu, na sasa wameamua kuharibu zaidi kwa kuchochea moto kupika vyakula vya chipukizi wao
   
 3. Sihali

  Sihali Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hina hoja wewe kama huna la kuandika kaa kimya usome yanayoandikwa na wale walikuwa na maya ya kuelimisha jamii. ulitaka wafanyie wapi? barabarani?
   
 4. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  duh.....
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Kama yatakayoandikwa ndio kama hayo ya kwako wala hakuna haja ya kuendelea kusubiri. Nb. Ushauri wangu kwako jaribu kutembelea vituo vya afya ya akili
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Uwanja wa mpira si seemu ya kupikia, ni uharibifu wa uwanja. Hapo nyasi za uwanjani zinachomwa
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu achana nao hao wako kwa kubisha tu ! Ndio hao Kigarama anasema hata barabarani wanataka watumie mtumbwi !
   
 8. k

  kamimbi Senior Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo yanakuja soon uwanja wa taifa na wa uhuru, wenye mapenzi mema na tz tuombe mungu tusifike huko maana dunia nzima haitatuelewa
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Hivi hao ni chipukizi wazee hawa labda waseme mgambo wa chama hapo sawa si chipukizi hao...linganisha na wale walioimba halaiki miaka 50 uhuru ndio utajua!!!!ukute mwanza pale makoroboi machinga wamepungua sana kwa sasa wako kirumba wanakupa gwaride allowance zao fasta....wapigwe na uniform,raba ,mikanda aaahh na wamekula mwezi mzima bure....na ahadi kibaoo za uongo watastukiaa baada ya sherehe hawatamuona mtu yeyote!!subiri utasikia
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  duh!!!! sikuelewi .........natoka nitarudi na miwani
  :nerd:
   
Loading...