asfiwae Bwana haya tena Famlia yangu hiyo mnasemaje?Wakuu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,041
Picha Iliyowaingizia Dola 250,000

1170.jpg


Picha waliyopiga pamoja na watoto wao wachanga sita na kisha kuiweka kwenye mtandao wa Facebook imeifanya familia ya Rozonno na mkewe Mia McGhee ya nchini Marekani kujiingizia kiasi cha dola 250,000 zaidi ya Tsh Milioni 325.
 
Kwanini ingelikuwa hapo bongo ni majuto? Si nyinyi ndugu zangu mngenisaidia wana Jamii forums?

Kwa jamiiforums hakika watakusaidia lakini serikali legelege kama tunayoitazama leo,
Nakwambia ungekuwa umeingia choo isiyo na jina,,,,,,,,,,,,,,,,,,.,,!
 
Kweli sehemu zingine fedha zipo nje nje, hapa kwetu ni maajabu mangapi yapo na watu hawapewi hela?

Kwa mfano kuwa na rais asiyejua kwa nini nchi yake ni maskini, si maajabu hayo?

Eti leo amepewa TUZO hapo Ethiophia!
Yani huu mzigo sijui tutautua lini.

MUNGU akatujalie tu!
 
Iitabidi uwe na bakora ya kuwachapa ikiwa nyumba ina vurugu nikiwaleta utanisaidia kuwalea watoto?[/QUOTE]

Ndugu yangu nsikudanganye, itabidi mie na mke wangu tuchukue likizo hadi waje wafikishe miaka mitatu!

Lakini peke yako! iabidi wakianza kutambaa... uwe unawafunga kamba miguuni! na wewe unajifunga ili wakianza kusambaa ustuke la sivyo! Utaokoka...!
 
He amepewa tuzo ya nini tena?


Kapewa tuzo ya kutokomeza malaria Africa

Kilichonishangaza ni jinsi hawa mapapa wanavyojineemesha kwa ajili ya Waafrica wenzio kwa kudanganywa na ngozi nyeupe.

Chandalua yenyewe ni madhara tupu

Eti unaweza kukaa miaka 5 bila ya kuweka dawa yoyote na bila ya madhara,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hili nina hofu nayo sana,,,,,,yani inanisumbua kichwa vibaya kabisa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom