Kazi ya Jeshi si mchezo...Adhabu gani sasa hizi!

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Aisee ukifanya mchezo na kazi ya Geshi ra Porisi adhabu zake ndo kama hizi...Chezea Geshi wewe!
 

Attachments

  • Kazi ya jeshi.jpg
    Kazi ya jeshi.jpg
    19.8 KB · Views: 1,152
he he he hii sasa imepitiliza.ina maana kuna vichwa vinakaa na kutunga haya mazoezi au?
 
hahaaaa jeshi bana kazi ya hovyo sana hii..kula kwa foleni na miadhabu kama hii..bora kazi yangu ya dukani..muda wote niko bize kuchat na akina mama zubeda...
 
hawa tabia yao ni ya hovyo sana, hata akikukuta na kosa krb na mtaani kwenu anaweza kukuamrisha adhabu kama hizi
 
Back
Top Bottom