Mkuu, Katika Mkoa mzima wa Mtwara hakuna sehemu ambayo ipo safi kama Ndanda, Maji ya kutosha, Umeme wa kutosha na pia mandhari yake imekaa vizuri sana, bila kusahau kuna Hospitali kubwa, na shule ya High level ya Ndanda High School, Kwa miaka kama 5 iliyopita tuliosoma pale tulikuwa tunaenjoy sana japo mmi nilisoma O'level lakini mazingira ya hiyo sehemu yalinivutia sana. Ni vijiji vichache sana Tanzania ambavyo sio wilaya au tarafa vinaweza kuwa kama Ndanda by the way nasikia wapo kwenye mchakato wa kuifanya Ndanda wilaya na Masasi mkoa kwani Lindi imekuwa kubwa sana na wana mpango wa kuupunguza ukubwa wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.