Jambazi Sugu Iringa Lenye Kuficha Mali Chini ya Ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambazi Sugu Iringa Lenye Kuficha Mali Chini ya Ardhi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 724"]
  <tbody>[TR]
  [TD]Jambazi Sugu Iringa Lenye Kuficha Mali Chini ya Ardhi

  [​IMG]

  Jambazi Msafiri Ilomo ambaye kwa kushirikiana na wenzake walitumia nondo kuwaua au kuwajeruhi wananchi mkoani iringa kabla ya kuwapora mali zao.

  [​IMG]

  Hili sio ghala la kuhifadhia mali za duka lolote lile nchini bali ni nyumba ambayo jambazi sugu Msafiri Ilomo na majambazi wenzake wa mkoani Iringa walikuwa wakificha mali walizozipora toka kwa wananchi waliowaua kwa kutumia nondo au kuwajeruhi vibaya kwa nondo

  [​IMG]

  Mali zilizokutwa nyumbani kwa jambazi Msafiri


  [​IMG]

  Wananchi wakifukua mali zilizofichwa chini ya ardhi na jambazi Msafiri na wenzake
  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 2. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Ameshazikwa? Duh huyu alikuwa yale mapanya buku ya kunusa mabomu apopo
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jambazi njaa, aiba mpaka godoro, nguo na baiskeli
   
 4. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Picha ya kwanza inaonyesha..Nyuma ya moyo wa Jambazi muuwaji asiye na huruma kuna upendo kwa mtoto wake..
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Du:Kweli huyo alikuwachizi..Nyumba yenyewe kashindwa hata kuezeka mabata ameezeka mifuko?Sasa alikuwa anaiba ili iweje sasa au anapatafaida gani kwenye wizi wake?Huyu hakuwa na akili nzuri
   
 6. t

  testa JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu tujulishe Iringa ni kubwa sehemu gani hapo?
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hAKUNA JAMBAZI KUZIDI SERIKALI YA CCM HASA 2005-TULIPO
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hizo mali zilizopo chini ya ardhi hazijaoza kweli?
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  huyu lazima alikuwa driven na mapepo kwend akuiba. unaiba kisha hujui ufanyie nini ulichoiba...LOL
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  huyu ni mwizi sio jambazi
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani alikuwa akifanya hivyo kwaajili ya kunywa pombe nakufanya starehe
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pia amekamatwa ama la?
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno na wao wanalijua
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huenda kulikuwa na kigogo wa magamba nyuma yake si unajua ndo source ya wezi
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kuna tofauti ya jambazi na mwizi...huyu mwizi bwana!
   
 16. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Ngoja niangalie kamusi yangu nipate kujua maana halisi ya Jambazi!
   
 17. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Hili Jambawazi linakwiba mpaka maua? duh!
   
 18. D

  DOMA JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ni la CCM nini? maana ni ndio chama....
   
 19. D

  Dina JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Na mie nimeshangaa, uizi gani huu jamani? Mapambo ya maua, mayeboyebo, manguo......
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  uNAO uSHAH&#304;D&#304; KUWA H&#304;L&#304; jAMBAZ&#304; N&#304; LA ccccccccccccccccMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM?
   
Loading...