Nyie Endeleeni Kugoma..Mie Naendelea na Uzinduzi..............

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
download_(21).jpg
Dr Bilali.........Hapa anazindua ujenzi wa nyumba 14 za watumishi huko Utete Rufiji.......................
 
Hatuhitaji hiki cheo! Mzee wa mikasi huyu naye
nadhani anatembea nayo, hebui maginegharama za kwenda hadi Rufiji na timu nzima kuzindua nyumba 14 tu!!!! jinsi fedha ya walipa kodi inavyoteketea..........MAMBO MANGAPI YA MAENDELEO YANGWEZA KUFANYIKA........
 
garama za msafara wake na posho wanazolipwa zinatosha kabisa kujenga nyumba nyingine, kwan mkuu wa wilaya ya huko kazi yake ni nini?
 
Gharama zote hizo anazolipwa ni kwaajili ya kuzinduwa tu?
 
Atengenezewe mkasi wa gold ili atembee nao,kwa hali hii huyu mzee atazindua hadi mabanda ya kuku.
 
Hivi jamani cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani? yaani kazi yake kubwa ni kuzindua tuuuu! Sasa hiyo PhD ya nuclear science ina faida gani sasa?
 
Hivi jamani cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani? yaani kazi yake kubwa ni kuzindua tuuuu! Sasa hiyo PhD ya nuclear science ina faida gani sasa?
Katiba Mpya ndio Jibu.....................Kwa sasa umuhimu wake ni kupoza machungu ya kuukosa Urais wa Zanzibar
 
Kwa hali hii, hata mtu asiyejua hata kusoma anaweza kuwa makamu wa rais.
 
Kwa maana pale hufanyi lolote wala hushiriki kwenye maamuzi yoyote umekaa tuu kuzindua nyumba
Huo msafara na gharama alizotumia zingetosha kujenga nyumba nyingine 14
Kwani hakuna mkuu wa mkoa au waziri wa Nyumba na makazi kufanya kazi hiyo ya uzinduzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom