Wasukuma kwa ugali huwawezi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Tuliwapanga duhu, Wasukuma kwa ugali ndio wenyewee. Sasa bisha tuone!

ugali.jpg
 
DahQ ugali mkubwa huo kama Mount Everst halafu tena badala ya kukatwa na kisu unakatwa na panga. Haya ni maajabu ya mwaka
 
Mimi ni Msukuma, nimezaliwa, nimekulia kijijini sijawahi kuona ugali wa jinsi hii halafu eti kuna panga likikata. Kwa vile tunao watani wengi sana katika nchi hii bila shaka picha hii imepigwa makusudi ili kuendeleza utani, haina ukweli wowote.

Kwa taarifa yako avumaye baharini ni papa ..., kuna makabila hapa TZ yanapenda ugali kuliko hata hao Wasukuma wanaovuma, mojawapo ni wazee wa Musoma, wazee wa mapanga sha shaaa..., bila shaka picha hii inawahusu!
 
Baada ya kuingalia picha hii kwa makini sana, nimegundua yafuatayo:
1. Msukuma huwa hali juu ya meza ya kwenye baa kama inavyoonekana, bali huwa anakula ugali akiwa chini ardhini.
2. Msukuma huwa hapakui ugali wake na kuuweka kwenye sinia kama inavyoonekana, huwa anakula ugali ukiwa katika chombo ulimopikiwa mfano chungu au sufuria.
3. Msukuma huwa hatumii mboga ya nyanya na vitunguu (kachumbari) kama inavyoonekana bali hutumia mlenda, maziwa n.k.
4. Msukuma huwa hakaangi nyama kama inavyooneka bali huchemsha na kula na ugali kama supu wanavyoiita kule Moshi.
5. Panga la Msukuma huwa halifunikwi na plastiki katika kishikio kama linavyoonekana bali hufunikwa na ngozi ya mkia wa ng'ombe (gulumuda).
6. Msukuma huwa hali sehemu moja na mwanamke kama inavyoonekana bali wanawake na wanaume hula peke yao.
7. Msukuma huwa hana mzaha na chakula kikitengwa, asingezubaa wakati ana kazi ya kufanya kama inavyoonekana bali angepigwa picha akiutendea haki ugali huo.
8. Seehemu anayoishi Msukuma kwa kiasi kikubwa ni nusu jangwa, bali hapa panaonekana ni eneo lenye mvua nyingi kama Tarime.

Kwa kuzingatia mambo manane hapo juu hakuna shaka yoyote picha hii haimhusu Msukuma.
 
Hapo umenena Mkuu sisi huwa hatushangai ugali km picha inavyoonyesha.
 
du!!!!!! umejitahidi kujitetea kwa hoja za msingi ambazo wanaojua ukweli wake ni wasukuma, bado nasita kuamini kama si wasukuma kwani mila na desturi zao sizijui, we msukuma jasili. big up man.
 
Baada ya kuingalia picha hii kwa makini sana, nimegundua yafuatayo:
1. Msukuma huwa hali juu ya meza ya kwenye baa kama inavyoonekana, bali huwa anakula ugali akiwa chini ardhini.
2. Msukuma huwa hapakui ugali wake na kuuweka kwenye sinia kama inavyoonekana, huwa anakula ugali ukiwa katika chombo ulimopikiwa mfano chungu au sufuria.
3. Msukuma huwa hatumii mboga ya nyanya na vitunguu (kachumbari) kama inavyoonekana bali hutumia mlenda, maziwa n.k.
4. Msukuma huwa hakaangi nyama kama inavyooneka bali huchemsha na kula na ugali kama supu wanavyoiita kule Moshi.
5. Panga la Msukuma huwa halifunikwi na plastiki katika kishikio kama linavyoonekana bali hufunikwa na ngozi ya mkia wa ng'ombe (gulumuda).
6. Msukuma huwa hali sehemu moja na mwanamke kama inavyoonekana bali wanawake na wanaume hula peke yao.
7. Msukuma huwa hana mzaha na chakula kikitengwa, asingezubaa wakati ana kazi ya kufanya kama inavyoonekana bali angepigwa picha akiutendea haki ugali huo.
8. Seehemu anayoishi Msukuma kwa kiasi kikubwa ni nusu jangwa, bali hapa panaonekana ni eneo lenye mvua nyingi kama Tarime.

Kwa kuzingatia mambo manane hapo juu hakuna shaka yoyote picha hii haimhusu Msukuma.

Wabheja ng'wanangwa! bhawelage bhatumbafu bhenabha!
 
Hii kitu inaitwa panya haruki!! hahaah umenikumbusha enzi zile
 
Acheni uongo wapi palipoandikwa ugali kwa wasukuma?
anyway kula ni kula mbaya kukomba mboga!!
 
Back
Top Bottom