Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Kasheshe kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Kasheshe kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo

  [​IMG]

  Wafungwa 480 wa Taliban nchini Afghanistan wametoroka kupitia kwenye kishimo hichi kilichochimbwa na wanamgambo wa Taliban kwaajili ya kuwatorosha wanamgambo wao waliotupwa jela na serikali ya Afghanistan.


  [​IMG]

  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Hiki  [​IMG]

  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Hiki


  [​IMG]

  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Hiki


  [​IMG]

  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Hiki


  [​IMG]

  Wafungwa 480 Watoroka Kupitia Kwenye Kishimo Hiki
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  wameapply mbinu za Michael Scofield
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,455
  Likes Received: 4,737
  Trophy Points: 280
  Hapa Bongo iliwahi tokea, jamaa alifanikiwa kuingia na umma (fork) na akachimba hadi likatokea tundu wakasepa
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Kishimo au shimo hilo?

  Hapo ndio utajuwa kuwa kuna collaboration. Mchanga waliochimba hapo waliuficha wapi?
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  duh! Hizi zingine ni story tu.
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ulidhani walikuwa wanachimba tuta, mchanga unatafutiwa sehemu ambapo mtu hawezi kuhisi halafu shimo linawekwa makaratasi lisionekane
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Inteligence ya Pakistan ndio ilikuwa inamuhifadhi Osama Bin Laden kwahiyo hata kwenye hili no wonder askari wa hilo gereza wanahusika na huo mchoro.

  Michanga sio tatizo wanaweza wakawa wanauweka mifukoni mwao kila siku na kuimwaga nje wakati wakitoka, maana plan kama hii huwa haikamili kwa siku moja, mnaweza mkatumia hata mwezi mzima ili kufanikisha hilo.
   
 9. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Mwita 25 yuko wapi??
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Amepotea siku hizi au amekula LIFE BAN kwanini unamuuliza Mwita25?
   
 11. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hicho kitakuwa kikosi cha majasusi,si wafungwa wa kawaida hao.
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hao wafungwa wameingiliwa na mzimu wa Michael Scofield nini?
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mchanga upo mwanzo wa shimo sababu walianza kuchimba kutokea nje ya gererza kuja gerezani. walikuwa wanatumia vipimo wanajua kabisa mita mia tutatokea wapi. safi sana. mia
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hii habari ina kama mwaka, tatizo ni nini, uwa hatuangalii channels za nje au? ni kwamba wataliban walichimba shimo umbali wa mita 300 kuelekea gerezani kuwaokoa wenzao
   
 15. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Soma vizuri maelezo hapo juu "Wafungwa 480 wa Taliban nchini Afghanistan wametoroka kupitia kwenye kishimo hichi kilichochimbwa na wanamgambo wa Taliban kwaajili ya kuwatorosha wanamgambo wao waliotupwa jela na serikali ya Afghanistan". Utaona kuwa shimo lilichimbwa na wanamgambo walioko nje, sio wafungwa.

   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  vaa miwani usome maelezo vizuri usikurupuke tuuuuuuuu!!
  na maswali yako yasiyo na mashiko!!!:alien::alien::alien:
   
 17. driller

  driller JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yeeeah hawa jamaa ni nnoma kinyama mzee wangu..! hii ni zaidi ya michael scholfield..!
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Huko kashindwa Mrusi ambae ni jirani yao. Hawa NATO nao wako mashakani, kushindwa kwao ni lazima hakuna ujanja.
   
 19. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu, story kama: Ndoto za Alinacha au Sinbad wa Baghdad! Hiyo story ya kuchimba shimo kwa kutumia uma, sikuwahi kusikia hapa Bongo.
   
 20. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Source?
   
Loading...