Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...
Maisha ni kitu cha ajabu sana, kuna tetesi kuwa hawa jamaa kwenye picha walikua wakomaaji sana enzi zao.
Na huyu jamaa alikua mpiga mbonji sana, lakini leo kawa Boss wao wote na wao ni watu wa...
Hii ni picha ya kumuaga aliyekua Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Bbc, Ndugu Dunstan Tido Mhando mwaka 2006 Mjini London!
Watatu kati ya waliopo hapo ni wakuu wa vitengo na Mmoja ni Naibu...