Wanapenda kutumia quotes balaa. Wakati hao wenyewe hawaishi uhalisia wa quotesHa haaa! Hiki kikatuni kimeshika kasi. Wadada wengi wanao approachi Thirties alafu mambo hayaeleweki wameki share kwenye fb wall zao wakijifariji na 'kuudanganya' umma kuwa wana r.ship za maana ila tu hawataki kuziweka public... Ni sheedah!
Yes someday you will beI will be just me.
No i am me.Yes someday you will be
That's pretty [emoji8]No i am me.
Habari za kuwa jane nitakuwa najifekisha, so i am just me, kama tutaendana basi ni coincidence.That's pretty [emoji8]