Unafikiri ni uchaguzi unaosimamiwa na Jecha mkuu!!Trump hapati kitu...!
...ana nafasi kubwa ya kushinda kulinganisha na wengine japo kuna wamarekani wengi wasiompenda kabisa lakini wanaomfagilia ni wengi zaidi..Trump hapati kitu...!
Hata ukisimamiwa na nani, haendi kokote. Trump ni tsunami itakayoangamiza dunia.Unafikiri ni uchaguzi unaosimamiwa na Jecha mkuu!!