kumbe walisha chukua tenda ya kuchapisha t-shirt?sasa wanaona kombe likienda c.u.f cha juu walicho kura,kitaulizwa kimeenda wapi!ndio maana povu linawatoka
Mbona kawaida hata team zinaaandaaga jezi za ushindi cku ta final
Watachelewa wanataka kufanya haraka sana ili wawahiSasa itabidi hizo watupe kuleee, wa print za Shein 2016 to 2021.