dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam kwa ajili ya shughuli ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Chalinze Marchi 18,2016