Hapana chezeya Maisha

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,504
Maisha ni kitu cha ajabu sana, kuna tetesi kuwa hawa jamaa kwenye picha walikua wakomaaji sana enzi zao.
Na huyu jamaa alikua mpiga mbonji sana, lakini leo kawa Boss wao wote na wao ni watu wa kawaida mno.

10449504_1711436959077719_7391763202046925031_n.jpg
 
Kazi ya siasa sio nzuri hata uwe unalipwa sh ngapi hauna freedom hauweI kula bata na familia au kumpumzika na watoto. Maana maneno mengi na kuna kuchafuliwa inabidi familia na ndugu zako wakuamini sana and that is not the usual case
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana, kuna tetesi kuwa hawa jamaa kwenye picha walikua wakomaaji sana enzi zao.
Na huyu jamaa alikua mpiga mbonji sana, lakini leo kawa Boss wao wote na wao ni watu wa kawaida mno.

10449504_1711436959077719_7391763202046925031_n.jpg
Huwezi jua alipopita ndugu zetu waliishamo ya malimwengu ni mengi
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana, kuna tetesi kuwa hawa jamaa kwenye picha walikua wakomaaji sana enzi zao.
Na huyu jamaa alikua mpiga mbonji sana, lakini leo kawa Boss wao wote na wao ni watu wa kawaida mno.

10449504_1711436959077719_7391763202046925031_n.jpg
Huyu mwenye nyekundu si hasan kashinde huyu, yuko sinza mori ni derva wa daladala mda mrefu tu
 
huweZ jua labda alikesha ucku uliofuata akisoma,na vilevile kujituma xn si garentii ya kufanikiwa
 
Huu wivu sasa! Hata ma room mate wanamsema vibaya?! Unawezaje kutoa picha za mwenzako akiwa amelala? Kwa nini hukutoa juzi?

Waafrika bhana! Sorry, Watanzania bhana!
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana, kuna tetesi kuwa hawa jamaa kwenye picha walikua wakomaaji sana enzi zao.
Na huyu jamaa alikua mpiga mbonji sana, lakini leo kawa Boss wao wote na wao ni watu wa kawaida mno.

10449504_1711436959077719_7391763202046925031_n.jpg
Kazi ipo
 
Kwa hiyo kwa akili yako ulidhani kukesha ukisoma ndio kufanikiwa kimaisha ???
 
Back
Top Bottom