Nimefurahiiiiiiiiiii bas tena. Sasa akipita yeye agombee raundi ya 3. Ila Dr aweza kupita kwani kura yake na ya mkewe tu tiyari anapita hata kwa asilimia 1.
Africa hakuna demokrasia ni kupotezeana tu muda,ingekuwa uwezo wangu kama hapo Zanzibar ningeamuaa kwamba hakuna kupiga kura mpaka itakapoamuliwa vingine,kwamba watu wapo tayari kukabidhi madaraka,ni kiini macho tu Africa tunadharauliwa kwa ujinga kama huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.